Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki.
IMG_0114.jpeg
Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi.
IMG_0113.jpeg
Pia, Soma:
=> CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika
=> Eng. Hersi Said anaingia moja kwa moja kwenye Vikao vya Kamati ya Utendaji ya Marais wa CAF kwa wadhifa wake mpya!
 
Yes, ni kiti kimealikwa. Afisa Habari wa klabu ametutaarifu wananchi alipo rais wetu. Nyie pokeeni taarifa ya mwaliko wa kiti, sisi tunapokea taarifa ya rais wetu😀😀😀
Vipi yeye Afisa Habari naye hajaalikwa maana nasikia yeye ndiye Msemaji wa Vilabu vyote Afrika
 
Taarifa iwekwe sawa kwamba amealikwa kama Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, sio kama Rais wa Klabu wa Yanga.

Ingekuwa Klabu lazima ingealikwa Simba Sports Club
 
Back
Top Bottom