Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kiti kisichokuwa na mtu sio? Akili umepewa ya kuvukia tu barabara sio maarifa.
Mbumbumbu akili zao walimkabidhi mangungu🤣🤣Kiti kisichokuwa na mtu sio? Akili ukipewa ya kuvukia tu barabara sio maarifa.
ndio maana wanafungua chaneli zakiarabu!Mbumbumbu akili zao walimkabidhi mangungu🤣🤣
Yes, ni kiti kimealikwa. Afisa Habari wa klabu ametutaarifu wananchi alipo rais wetu. Nyie pokeeni taarifa ya mwaliko wa kiti, sisi tunapokea taarifa ya rais wetu😀😀😀
Vipi yeye Afisa Habari naye hajaalikwa maana nasikia yeye ndiye Msemaji wa Vilabu vyote AfrikaYes, ni kiti kimealikwa. Afisa Habari wa klabu ametutaarifu wananchi alipo rais wetu. Nyie pokeeni taarifa ya mwaliko wa kiti, sisi tunapokea taarifa ya rais wetu😀😀😀
Ametingwa na majukumu ya klabu. Ameomba udhuru😀😀😀Vipi yeye Afisa Habari naye hajaalikwa maana nasikia yeye ndiye Msemaji wa Vilabu vyote Afrika
Basi chukueni hicho kiti mpeni Mangungu aende nacho mkutanoni..!!
Sawa. Mwambieni na Mangungu naye aendeTaarifa iwekwe sawa kwamba amealikwa kama Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, sio kama Rais wa Klabu wa Yanga.
Ingekuwa Klabu lazima ingealikwa Simba Sports Club
Kwahyo simba pale hamna viti?
Zamu ya Mangungu bado, tumemtuma mdogo kwanza aende 😜Sawa. Mwambieni na Mangungu naye aende
Itakuwa wana mabenchi tuKwahyo simba pale hamna viti?
Basi chukueni hicho kiti mpeni Mangungu aende nacho mkutanoni..!!
Duh. Kuhudhuria mkutano nako ni jambo la kututambia. Nilijua nyie ni washamba ila sikujua ni washamba kiasi hiki.Kwahyo simba pale hamna viti?
Huyo jamaa Hana hata hizo za kuvukia barabara.Kiti kisichokuwa na mtu sio? Akili umepewa ya kuvukia tu barabara sio maarifa.