Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

Hivi hii mikutano ina manufaa au elimu gani ktk kuukuza na kuitangaza ligi yetu? na huyo kiongozi anae kwenda huko arudipo kuna nini atakileta kwa manufaa ya vilabu vyetu? najaribu kuwaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…