GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikianza kipindi cha pili.Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu.
Cc: Ulimakafu
Maruhani huwa hayapandi ndege ujue. Labda bao la bafuniYanga watachomoa bao dakika ya 90'
Waarabu hawata amini,goli la Fei Toto,umbali wa maguu 40 hivi.
Nimekaa pale👉