Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu.

Muda ukifika kila shabiki wa uto iwe wa ndani ya nchi hata nje akamatie kipandr chake cha muhogo atafune kuunga mkono kauli ya raisi wetu sisi wala mihogo