upupu255
JF-Expert Member
- Sep 4, 2024
- 418
- 550
Rais wa Timu ya Yanga Hersi Said ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome.
Eng. Hersi ametoa ahadi hiyo kupitia mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025