GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Mwanangu Fei Toto kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum (Fei Toto) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.
GENTAMYCINE nipo (nimekaa mbele hapa) nasubiria Majibu yenu ili niendelee Kuamini kuwa hamjui Kufikiri.
Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika na ndio maana hata Mhamasishaji Mkuu wenu Mfungwa Haji Manara alisema (akiwa EFM Radio) kuwa Yanga SC nzima wenye Akili timamu ni Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete waliobakia wote ni Hamnazo kabisa.