Rais wa Yanga SC Hersi na Msemaji wenu Kamwe mlisema Fei Toto anarejea Yanga SC. Je, nyie ni zaidi ya Mama yake Mzazi?

Rais wa Yanga SC Hersi na Msemaji wenu Kamwe mlisema Fei Toto anarejea Yanga SC. Je, nyie ni zaidi ya Mama yake Mzazi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Mwanangu Fei Toto kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum (Fei Toto) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.

GENTAMYCINE nipo (nimekaa mbele hapa) nasubiria Majibu yenu ili niendelee Kuamini kuwa hamjui Kufikiri.

Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika na ndio maana hata Mhamasishaji Mkuu wenu Mfungwa Haji Manara alisema (akiwa EFM Radio) kuwa Yanga SC nzima wenye Akili timamu ni Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete waliobakia wote ni Hamnazo kabisa.
 
"Mwanangu Fei Toto Kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa nzima wenye Akili Timamu ni Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete waliobakia Wote ni Hamnazo kabisa.
Yaani wewe ni miongini mwa makinyume nyume fc ambao hamna akili kabisa. Young wanachosimamia ni sheria na kanuni. Nyie mnataka huruma na busara. Muumiaji hapa ni huyo Dogo.

Mwanzoni mlimtia ujinga mwingi sana Tena Leo mnataka huruma
 
"Mwanangu Fei Toto kanyanyasika sana, tumevumilia mengi, kuna mengine ya Siri tunayajua ila tunaomba Kamati itende Haki kwa Mwanangu Fei Toto. Wanafamilia wote tuko nyuma ya Feisal Salum Fei Toto juu ya hili Suala lake na Mimi kama Mama yake Mzazi nasema hapa yaje Maamuzi yoyote ila Mwanangu hatoichezea tena Yanga SC kwani Wamemnyanyasa na Kumdharau mno" amesema Mama yake Mzazi Feisal Salum (Fei Toto) leo Asubuhi akizungumza na EFM Radio katika Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters.

GENTAMYCINE nipo (nimekaa mbele hapa) nasubiria Majibu yenu ili niendelee Kuamini kuwa hamjui Kufikiri.

Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika na ndio maana hata Mhamasishaji Mkuu wenu Mfungwa Haji Manara alisema (akiwa EFM Radio) kuwa Yanga SC nzima wenye Akili timamu ni Baba yake Mzazi Mzee Manara na Rais Mstaafu Kikwete waliobakia wote ni Hamnazo kabisa.
Huyu jamaa yeye ni Yanga tu, ila kwake kule Kinyumenyume FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC hawasemi.
 
Mama mzazi kwenye mkataba?? Hakuna uhusiano! Huyo ni mama yake sio mama wa Yanga! Msilete undugu kwenye kazi.
 
Wameongea kutokan na mkataba wapo sawa na mpaka sasa washaandika barua kwenda TFF ya kwamba Fei hawamwoni mazoezini hii barua inamaana yake itatumika kama kielelezo cha Yanga kudai haki yake.

NB:Ila makolo upande wa mikataba mpo vizuri, yaani hamtaki kujua zile jezi zenu zilizokuwa kwa dobi Ethiopia zitafika lini.
 
Back
Top Bottom