Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kauli yako umesaidia tuamini kuwa Ubingwa wenu ni wa Tigo Pesa tupu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tuliobarikiwa Upeo uliposema tu Mkutanoni leo kuwa Yanga SC imetumia Shilingi Bilioni Mbili ( 2 ) mpaka ikawa Mabingwa na Makombe yote na kulikosa tu lile la CAFCC tulikuelewa / tumekuelewa vyema.

Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukigawa Shilingi Milioni 700 zitumike Kuhonga Marefa, Makocha na Wachezaji baadhi ya NBC Premier League utachukua tu Ubingwa.

Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukigawa Shilingi Milioni 300 zitumike Kuhonga Marefa, Makocha na Wachezaji baadhi wa Michuano ya ASFC ni lazima tu utakuwa Bingwa.

Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukitumia Shilingi Bilioni Moja ili Uhonge Marefa wa CAF na Uzihonge Timu dhaifu Kiuchumi katika CAFCC na Maafisa wa TFF ili wawafichieni Siri pale mkifanya Hujuma ( Kuweka Sumu Vyumbani ) ili mshinde Mechi zenu za Kimataifa na mfike mbali.

Asante sana Injinia Hersi Said kwa Uwasilishaji wako leo na kutuamhia kuwa Shilingi Bilioni Mbili ndiyo zimetumika na kuwafanya muwe Mabingwa wa Vikombe vyote vya Ndani ya Tanzania.

Niulizieni Je, kwa Msimu ujao wa NBC Premier League Yanga SC chini ya Rais Injinia Hersi Said imetenga Shilingi Bilioni ngapi kwa Kuhonga na Kununua Mechi ili muendelee kuwa Mabingwa kila mara na muwaridhishe Mashabiki wenu Washamba?
 
hapana umeelewa vibaya
 
Kuna watu huwa wanajipatia umaarufu sana humu JF kwa kutumia ujinga wao. Ni bahati ilioje.....!
 
Kama inawezekana kuhonga.na unakuchukuwa Ngao ya hisani mbele Dunduka fc,Azam cup,NBC pl na kufika fainali ya CAFCCL.nampa maua yake eng Hersi ongeza budget,tuendelee kufurahi makolo waumie.tunapende technics zako Hersi na kamati yako.tumekuruhusu kuongeza matumizi wahonge mpaka 2030 ni makombe tu.2031 tuwaachie Azam Fei wetu apate medali na kombe kabla ajastaafu
 
Mbona Hilo linafahamika kama hawa jamaa Kuna mechi wanacheza na application ya tigo pesa.
 
Kuna watu huwa wanajipatia umaarufu sana humu JF kwa kutumia ujinga wao. Ni bahati ilioje.....!
Na bado pamoja na Kuutambua huo Ujinga Wao ili nyie Wapumbavu ( Ukiwemo ) bado tu huwa mnapoteza muda Wenu Kuwafuatilia na Kuwasoma hapa JamiiForums.
 
Mbona Hilo linafahamika kama hawa jamaa Kuna mechi wanacheza na application ya tigo pesa.
Natamani niweke hapa Ushuhuda Mmoja wa Beki mahiri wa Mtibwa Sugar FC kuhusu Kuhongwa na Yanga SC kupitia Kocha Wao waliyemtumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…