GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said tuliobarikiwa Upeo uliposema tu Mkutanoni leo kuwa Yanga SC imetumia Shilingi Bilioni Mbili ( 2 ) mpaka ikawa Mabingwa na Makombe yote na kulikosa tu lile la CAFCC tulikuelewa / tumekuelewa vyema.
Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukigawa Shilingi Milioni 700 zitumike Kuhonga Marefa, Makocha na Wachezaji baadhi ya NBC Premier League utachukua tu Ubingwa.
Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukigawa Shilingi Milioni 300 zitumike Kuhonga Marefa, Makocha na Wachezaji baadhi wa Michuano ya ASFC ni lazima tu utakuwa Bingwa.
Kwa Bilioni Mbili za Kitanzania ukitumia Shilingi Bilioni Moja ili Uhonge Marefa wa CAF na Uzihonge Timu dhaifu Kiuchumi katika CAFCC na Maafisa wa TFF ili wawafichieni Siri pale mkifanya Hujuma ( Kuweka Sumu Vyumbani ) ili mshinde Mechi zenu za Kimataifa na mfike mbali.
Asante sana Injinia Hersi Said kwa Uwasilishaji wako leo na kutuamhia kuwa Shilingi Bilioni Mbili ndiyo zimetumika na kuwafanya muwe Mabingwa wa Vikombe vyote vya Ndani ya Tanzania.
Niulizieni Je, kwa Msimu ujao wa NBC Premier League Yanga SC chini ya Rais Injinia Hersi Said imetenga Shilingi Bilioni ngapi kwa Kuhonga na Kununua Mechi ili muendelee kuwa Mabingwa kila mara na muwaridhishe Mashabiki wenu Washamba?