mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
We ni zaidi ya Generali mzeeI've worked with those bedui people or Bidoon (stateless) in one of the Gulf countries [emoji848]
Hawa bidoon walikuwa wakiishi mipakani wakichunga mbuzi zao na ngamia huko uarabuni
Maisha yao ni kutangatanga kama wamasai tu
Wengine wakabahatika kupewa kazi jeshini kama Kuwait na Saudia na Emirates lakini hawapewi uraia bali wanapewa vitambulisho tu
Yaani mimi nilikuwa bora kuliko wao maana naweza kusafiri ila wao hawawezi kwenda popote zaidi ya nchi walipo ndugu zao pia kama Syria na Iraq
Hawana madhara yoyote kihivyo ila Saddam alipovamia Kuwait wengi wao walirudi Iraq na Syria bila kupigana against Kuwait kwa sababu ndio waliowalea miaka nenda rudi
Ila swali je huyu Rais aliwezaje kupata uwezo wa kuwaaminisha kuwapa passports hao Stateless?
Ushapigana vita vingi
Ova