Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

We ni zaidi ya Generali mzee

Ushapigana vita vingi

Ova
 
We ni zaidi ya Generali mzee

Ushapigana vita vingi

Ova
Namshukuru sana Mola
Yaani wakati mwingine badala ya kuangalia TV au kusoma kitabu naamua kuoekua passports zangu zilizoisha zamani na kukumbuka nilikopita na mambo niliyoyaona duniani

Mengine yanatisha, mengine yanahuzunisha na mengine yanafurahisha
Ni filamu tosha
Asante mkuu
 
Umenikumbusha kesi ya mbowe na mashahidi wasiojua PGO
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sebo Sebo, menji milite Tanzanie,
C’est bon ,c’est bon menji Militaire Tanzanie
Eti sebo sebo...kumbe hajui hapo jamaa kalisifia jeshi letu kifaransa?
 

That came in my mind when I was reading this thread. Nawajua baadhi ya waliofaidikana hii scheme including some Zanzibaris.

By the way, kuuza uraia wa nchi hili sio geni hata some EU countries wanauza uraia mpaka leo hii na Warusi wengi wamenunua uraia wa EU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…