Rais wa zamani wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ahukumiwa kwenda miaka 5 jela

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024.

Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa mahakama kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu makosa yanayohusiana na tukio hilo.

Mahakama ilisema Yoon ana hatia ya kuzuia kukamatwa kwake, kutumia vibaya madaraka yake kama rais, kuingilia majukumu ya Baraza la Mawaziri, pamoja na kughushi na kuharibu nyaraka za Serikali.

IMG_3488.jpeg

-------------------

South Korea's impeached president Yoon Suk Yeol will be jailed for five years over abuse of power, obstructing justice and falsifying documents in relation to his failed martial law bid in 2024.

This is the first of the verdicts in four trials linked to his shock martial law decree. Although short-lived, the move triggered nationwide turmoil, sparking protests as MPs rushed to the national assembly to overturn Yoon's decision.

Yoon's actions "plunged the country into political crisis", a judge said on Friday, noting that Yoon had "consistently shown no remorse".
Friday's ruling offers clues as to how the rest of Yoon's trials could go.

His string of charges range from abuse of power to campaign law violations.

The most serious charge is insurrection, for which prosecutors have demanded the death penalty. The verdict in that trial is expected in February.

Source: Korea Times, BBC News
 
Katiba Yao ndiyo inatakiwa itumike hapa Tanganyika.Marais wa Tanganyika wanaharibu Nchi Kwa sababu katiba inawalinda yaani hawashitakiki hata kama wamefanya maangamizi kama yale ya MO23
 
Mahakama ya Seoul leo Januari 16 imemhukumu Rais wa zamani wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka mitano jela kesi, kosa likiwa ni uamuzi wake wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024.

Hii ilikuwa mara ya kwanza kwa mahakama kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu makosa yanayohusiana na tukio hilo.

Mahakama ilisema Yoon ana hatia ya kuzuia kukamatwa kwake, kutumia vibaya madaraka yake kama rais, kuingilia majukumu ya Baraza la Mawaziri, pamoja na kughushi na kuharibu nyaraka za Serikali.

View attachment 3530395

-------------------

South Korea's impeached president Yoon Suk Yeol will be jailed for five years over abuse of power, obstructing justice and falsifying documents in relation to his failed martial law bid in 2024.

This is the first of the verdicts in four trials linked to his shock martial law decree. Although short-lived, the move triggered nationwide turmoil, sparking protests as MPs rushed to the national assembly to overturn Yoon's decision.

Yoon's actions "plunged the country into political crisis", a judge said on Friday, noting that Yoon had "consistently shown no remorse".
Friday's ruling offers clues as to how the rest of Yoon's trials could go.

His string of charges range from abuse of power to campaign law violations.

The most serious charge is insurrection, for which prosecutors have demanded the death penalty. The verdict in that trial is expected in February.

Source: Korea Times, BBC News
Uwajibikaji. Hakuna mkubwa juu ya sheria.
 
Sheria ndio msingi manzee .
Huku macho kurembua anasema katiba ni kijitabu kilicho tugwaa .
 
SK na marais kwenda jela na coup ni pete na kidole.
 
Back
Top Bottom