Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

Kwa upande wangu naamini hizi ni figisu za siasa kama Africa tu

Ila kwa ujinga wa baadhi yetu ngozi nyeusi watasema hii ni haki tu inatendeka.

Huyu kabla hajajiingiza kwenye siasa wala haya yalikuwa hayamkuti sana

Baada tu yakuanza kugombea uraisi ndio mambo yamekuwa mengi akichafuliwa kwa kila namna huku wasichojua ndio wanamsaidia katika race yake.

Na kwasasa alipoonesha tu nia ya dhati ya kurudi kugombea uraisi ndio figisu za wazi zimeanza.
 
Nami GENTAMYCINE natamani sana Mharibifu Mmoja wa 2005 hadi 2015 nae akamatwe upesi akijumuishwa Mkewe Kisauti na Mwanae Kidoti ili Sheria ifanye yake na Tuheshimiane.
Yani kweli Kikwete angekamatwa na kuwekwa ndani kwa ufisadi ingekuwa safi sana
 
Wazungu hawana ujinga huu ndo maana wanaitendea haki urusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nami GENTAMYCINE natamani sana Mharibifu Mmoja wa 2005 hadi 2015 nae akamatwe upesi akijumuishwa Mkewe Kisauti na Mwanae Kidoti ili Sheria ifanye yake na Tuheshimiane.
Mi nadhani tuanze pale magharibi mwa mto 'akagera' kuna yule jamaa mrefu mwembaba anayetawala kimabavu zaidi ya miongo miwili kwa mashitaka yafuatayo:
1. Kutawala kimabavu na kuminya demokrasia.
2. Kuwabambikizia kesi na kuwafunga ama kuwaua wapinzani wake kisiasa.
3. Kuchochea mauaji ya kimbari (genocide) kwa mauaji ya Rais Habyarimana.
4. Mauaji ya kamanda Fred Rwigyema kwa uroho wa madaraka.
5. Kuendesha uporaji na mauji DRC
 
Nami GENTAMYCINE natamani sana Mharibifu Mmoja wa 2005 hadi 2015 nae akamatwe upesi akijumuishwa Mkewe Kisauti na Mwanae Kidoti ili Sheria ifanye yake na Tuheshimiane.
Ila mwezio akishachomoka yupo kwenye resort yake hivi sasa🤔
 
Katika uongozi wake ndio miaka ambayo marekani haijajihusisha na vita na umwagaji damu sana nchi za uarabuni na afrika
Alitumia largest conventional bomb huko kwenye mapango ya taleban mpaka akasababisha tetemeko, na vip kuhusu general wa Iran aliyeuliwa. In short Trump is amagedon
 
Nami GENTAMYCINE natamani sana Mharibifu Mmoja wa 2005 hadi 2015 nae akamatwe upesi akijumuishwa Mkewe Kisauti na Mwanae Kidoti ili Sheria ifanye yake na Tuheshimiane.
Kwa sheria za Tz Kikwete, mkewe na rizwan hawawezi kukamatwa.
 
Nina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela
Aliyajuane mashtaka wakati waandishi wa habari hawakuyajua hadi alipotoka mahakamani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Si angekimbilia Russia 🇷🇺 kwa rafiki yake?
 
Wazungu hawana ujinga huu ndo maana wanaitendea haki urusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwako wewe wazungu unawaona kama MUNGU hawana mapungufu au sio.

Huyu Trump mbona asipoonesha nia ya kugombea hizo shutma hazifanyiwi kazi ila tu akiingia kwenye siasa inaanza figisu.

Kwahyo Marekani usipojihusisha na siasa hata kama una makosa unaweza usifikishwe mahakamani ila ukijihusisha na wakaona wewe ni hatari kwao mahakama inakuhusu au sio.
 
Nina jamaa yangu ashaukwaa uraia wa huko hampendi trump anasema anamashtaka mengi balaa na mabaya kuliko hili. Hapa ni mwanzo tu huyu mzee aombee awe rais tena la sivyo anafia jela

Trump atawanyoosha tu.
 
He is very dangerous person in whole world.

Trump ndio muwasha kiberiti vita ya tatu.

Na Amerika ikiingia kwenye civil war the worst will happen for everyone.

Ngonjera tu. Mbona alikuwa Rais Vita haikutokea. Acheni vitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…