TANZIA Rais wa zamani wa Pakistan, Pervez Musharraf afariki akiwa Dubai, mwili wake kurejeshwa nyumbani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa madarakani.

Mwaka 2008 alishindwa katika kura, Mwaka 2016 aliondika kwenda Dubai kutibiwa na tangu wakati huo hakurudi nyumbani, lakini mwili wake utarejeshwa Pakistan baada ya familia kuomba.

======================

Pervez Musharraf, Pakistan's ex-president, dies aged 79
Pakistan's former president General Pervez Musharraf, who seized power in a coup in 1999, has died aged 79.

The former leader - who was president between 2001 and 2008 - died in Dubai after a long illness, a statement from the country's army said.

He had survived numerous assassination attempts, and found himself on the front line of the struggle between militant Islamists and the West.

He supported the US "war on terror" after 9/11 despite domestic opposition.

In 2008 he suffered defeat in the polls and left the country six months later.

When he returned in 2013 to try to contest the election, he was arrested and barred from standing. He was charged with high treason and was sentenced to death in absentia only for the decision to be overturned less than a month later.

He left Pakistan for Dubai in 2016 to seek medical treatment and had been living in exile in the country ever since.

Musharraf died in hospital on Sunday morning. His body will be flown back from the United Arab Emirates to Pakistan on a special flight after his family submitted an application to do so, local TV channel Geo News reports.

In the statement Pakistan's military expressed its "heartfelt condolences" and added: "May Allah bless the departed soul and give strength to bereaved family."

Pakistan's President Arif Alvi prayed "for eternal rest of the departed soul and courage to the bereaved family to bear this loss."

Pakistan's Prime Minister Shehbaz Sharif also expressed his condolences, as did the country's military leaders.

Source: BBC
 
Apumzike tu kwa amani general Musharraf , lakini aliacha doa kubwa sana sana kwa kifo cha benazir Bhutto !
Wapumzike kwa amani.

000_DV242769-1-690x450-1.jpg
0f6eb294-20bb-11ea-9a0e-84d50453511a.jpg
 
Nilikua namkubali sana bwana Musharaf juu ya msimamo wake dhidi ya magaidi lakini pia mwanaharakati Benazir Bhuto Ni moja ya wanaharakati mahiri wa like kutokea hasa katika nchi yenye kasumba ya kudunishwa kwa mwanamke

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Taliban ni zao la idara ya kijasusi ya Pakistan,Taliban walikua wakitumia vitani wanaenda tibiwa hospital za serikali Pakistan,hata bin laden katibiwa hospital za serikali/jeshi wakati wamarekani wanamsaka mapangoni torabora
 
Huyo baba alikuwa katili sana, aliwahi kumua mama mmoja hivi alikuwa tishio Kubwa sana kwake
 
Huyo jasusi, jasusi kuua si shida..na wanakuaga na sababu zao,iwe kwa maslahi ya nchi au laa,siasa ni mchezo hatari
 
Taliban ni zao la idara ya kijasusi ya Pakistan,Taliban walikua wakitumia vitani wanaenda tibiwa hospital za serikali Pakistan,hata bin laden katibiwa hospital za serikali/jeshi wakati wamarekani wanamsaka mapangoni torabora
Sijazungumzia Taliban popote coz kwa jeshi la Pakistan Taliban si magaidi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Musharraf ambaye alishiriki katika mapinduzi ya kijeshi kwenye Taifa lake Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa miaka 79, Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Aliiongoza Nchi yake Mwaka 2001 hadi 2008 akiwa na rekodi ya kunusurika kuuawa mara kadhaa akiwa madarakani.

Mwaka 2008 alishindwa katika kura, Mwaka 2016 aliondika kwenda Dubai kutibiwa na tangu wakati huo hakurudi nyumbani, lakini mwili wake utarejeshwa Pakistan baada ya familia kuomba.

======================

Pervez Musharraf, Pakistan's ex-president, dies aged 79
Pakistan's former president General Pervez Musharraf, who seized power in a coup in 1999, has died aged 79.

The former leader - who was president between 2001 and 2008 - died in Dubai after a long illness, a statement from the country's army said.

He had survived numerous assassination attempts, and found himself on the front line of the struggle between militant Islamists and the West.

He supported the US "war on terror" after 9/11 despite domestic opposition.

In 2008 he suffered defeat in the polls and left the country six months later.

When he returned in 2013 to try to contest the election, he was arrested and barred from standing. He was charged with high treason and was sentenced to death in absentia only for the decision to be overturned less than a month later.

He left Pakistan for Dubai in 2016 to seek medical treatment and had been living in exile in the country ever since.

Musharraf died in hospital on Sunday morning. His body will be flown back from the United Arab Emirates to Pakistan on a special flight after his family submitted an application to do so, local TV channel Geo News reports.

In the statement Pakistan's military expressed its "heartfelt condolences" and added: "May Allah bless the departed soul and give strength to bereaved family."

Pakistan's President Arif Alvi prayed "for eternal rest of the departed soul and courage to the bereaved family to bear this loss."

Pakistan's Prime Minister Shehbaz Sharif also expressed his condolences, as did the country's military leaders.

Source: BBC
Net worth 2m USD
 
Nilikua namkubali sana bwana Musharaf juu ya msimamo wake dhidi ya magaidi lakini pia mwanaharakati Benazir Bhuto Ni moja ya wanaharakati mahiri wa like kutokea hasa katika nchi yenye kasumba ya kudunishwa kwa mwanamke

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ule msimamo wake ilikuwa ni matokeo ya msukumo kutoka Marekani.
 
Back
Top Bottom