The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Musharraf alikua na msimamo dhidi ya magaidi Gani!?Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Jitahidi kufuatilia mambo kwa kina mzee baba.Acha uongo bhana...... Pakistan Taliban (Ttp) ndio walimuua Bhuto.
Jitahidi kufuatilia mambo kwa kina mzee baba.
Unajua uhusiano kati ya Bi Benazir Bhutto na Musharraf ulivyokuwa kabla ya Bhutto kurudi Pakistan mwaka 2007 ulikuwaje?
Fuatilia vizuri mwenendo wa kesi ya mauaji ya Benaziri Bhutto utapata jibui
Waliosema siasa ni mchezo mchafu hawakukoseaIliniuma sana huyu dada alipo kuwa anakiendea kifo chake kutoka ughaibuni. Watu walimwambia asiende si salama lakini hakuelewa. Musharaf aliua dada huyu asiye na hata chembe ya kujitetea mikononi. Charlie champlin aliwah onya 'the hate of man will path and dictators die... the power they took from the people will remain to the people.. so long as person die... rebarty will never perish!!
Musharraf hajawahi kukutwa na hatia ya kuhusika na yale mauaji hata uchunguzi wa UN ulihitimisha wahusika ni Pakistan Taliban (Ttp).Jitahidi kufuatilia mambo kwa kina mzee baba.
Unajua uhusiano kati ya Bi Benazir Bhutto na Musharraf ulivyokuwa kabla ya Bhutto kurudi Pakistan mwaka 2007 ulikuwaje?
Fuatilia vizuri mwenendo wa kesi ya mauaji ya Benaziri Bhutto utapata jibu
Endelea kutafiti zaidiMusharraf hajawahi kukutwa na hatia ya kuhusika na yale mauaji hata uchunguzi wa UN ulihitimisha wahusika ni Pakistan Taliban (Ttp).
Musharraf alilaumiwa kwa kutompa Bhutto ulinzi wa kutosha hivyo Ttp walitumia huo mwanya kumuua.
Acha uongo bhana...... Pakistan Taliban (Ttp) ndio walimuua Bhuto.
Kama unajua mbona hujaandika Sasa..Km hujui kitu funga domo
Anyway kila mtu abaki na analoamini...Endelea kutafiti zaidi