Rais wa Zambia amteua Mkuu wa Gereza alilokuwa amefungwa kuwa Deputy Commissioner General wa magereza

Rais wa Zambia amteua Mkuu wa Gereza alilokuwa amefungwa kuwa Deputy Commissioner General wa magereza

Jamaa kamwagiwa sifa kede kede lakini hajapiga salute wala kuruhusu mtu kuona jino lake.

Wale wa kwetu akitajwa tu, ameshainuka na kutandika salute, hizo bundle hua haziishi?

Tuelewane jamaa kapewa cheo kwa ku act professionally, sio kwamba alimpendelea Rais au kumpa unafuu.
Kwetu kauli za maagizo kutoka juu zimetamalaki. Watu wanaoneana wivu hadi nafasi za kukaa bungeni, achilia mbali majina ya kitaalam kutokana na taaluma.
 
Back
Top Bottom