Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama.
Majaji waliosimamishwa walikuwa Watoe Hukumu ya kama Rais wa Zamani bwana Edger Rungu aruhusiwe kugombea au hapana.
Huyu bwana Hichilema ndio Huwa anatokewa mfano kama role model wa Chadema ila wanasahau kwamba alikuwa anajinadi ni Mwanademokrasia kama wao ila ameshindwa kusimamia Demokrasia na Sasa anatumia vyombo vya Dola kuhakikisha anasalia madarakani.👇👇
View: https://x.com/BBCAfrica/status/1838607218733646272?t=UlsfHQwGF61G7AOHRCp8vQ&s=19
My Take
Madaraka ni matamu asali ikasome.
Ni hivi CCM msije kurogwa eti kuwaaachia madaraka Machadema mkidhani watakuja kusimamia maneno wanayosema,mtajua hamjui.
Hakuna mwanasiasa hata mmja ambae anasimamiaga anayosema,Huwa ni walaghai na mbaya zaidi unakuta majiti manyumbu wanaenda kumpigania mwanasiasa bila yeye kunufaika.
Watu wa hivyo Polisi ikiwavunja miguu ni sawa siwezi hata kuwapa pole maana hawana akili.
Mimi Niko wazi siwezi ku sympathise na mwanasiasa hata muuane hainihusu Kila mtu ashinde mechi zake.
#SSH# Anatosha na chenji inabaki ,🇹🇿 inae Hadi 2030.