Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:

Your browser is not able to display this video.


Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini 😁😁.

Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?

Hofu zenu hasa ni zipi basi?

Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.

Your browser is not able to display this video.


Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.

Kushinikiza, huo ni ubakaji!
 
Ma Raisi wa Africa wana azaga hivo ila wananalizia wakiwa ma dictator na mafisadi wa kubwa rejea kwa jpm wa Tz.
 
Ma Raisi wa Africa wana azaga hivo ila wananalizia wakiwa ma dictator na mafisadi wa kubwa rejea kwa jpm wa Tz.

Achana na majizi mkuu. Hichilema hata ikulu ya White House alikaribishwa katika kuyatia shime mamburula kuelewa:

1. Urais ni dhamana, haulazimishwi
2. Kuuwa watu wako haikubaliki
3. Kubambikiziana kesi haikubaliki



Huu siyo urais. Uchuro!
 
CCM ilichaguliwa kwa 99% tunadhauri watembee hivyo barabarani. japo kwa mama sio ishu Ila magu angetembea hivyo ilinushindi wake wa 99% uriflect kwenye jamii.

Compare and contrast:

Your browser is not able to display this video.
 
Mleta mada unajitahidi kwa kila hali kupigania chama chako, lkn kwa bahati mbaya unatwanga maji ndan ya kinu. I mean unapoteza muda wako na bando lako bure Maana walikuwepo wenye propaganda zaidi ya hizi mnamo miaka ya 2005 mpk 2020, lkn haikusaidia kuviingiza vyama vyao madarakani.
 
Mungu ibariki Zambia
 

1. Ipi umeona propaganda hapo japo moja tu ndege Dudumizi wewe?
2. Chama kipi umeona kinapiganiwa hapo achilia mbali kutajwa?
3. Kwanini kina Sabaya nyie ni maadui wakubwa wa demokrasia, haki, usawa na uhuru wa watu?
4. Kwani:



Wauaji wakubwa nyie.

5. Nipoteze bando? Kudai haki, usawa, uhuru na demokrasia niko tayari hata kupoteza maisha Mr Dudumizi! Bando kitu gani?
 
CCM ilichaguliwa kwa 99% tunadhauri watembee hivyo barabarani. japo kwa mama sio ishu Ila magu angetembea hivyo ilinushindi wake wa 99% uriflect kwenye jamii.

hii 1% ndio lile kundi la wachawi na magaidi hawashindwi kufanya chochote kisha kunywa mbege kujipongeza.
 
Zambia Mungu kaipenda sana
 
Zambia Mungu kaipenda sana

Nchi zote ambazo vyama tawala vimewahi kubadilishana uongozi na vyama vya upinzani wako vizuri sana.

Angalia wenzetu Kenya, Malawi, Zambia hata SA.

Tulipo sisi ni Mozambique, Uganda, Zimbabwe, Burundi na Rwanda.

Bado tunasafari ndefu. Wanadhani nchi ni mali binafsi.
 
Ulichokisema wala hakina mahusiano na mada yake. Kuingia madarakani hapa nchini kwetu ingekuwa ni kwa njia ya kura, ccm leo isingekuwa madarakani. Na kwa sababu hawako madarakani kwa kura halali za wananchi, ndio maana unaona ulinzi wao ni kama waliopindua nchi. Unapoona matumizi makubwa ya vyombo vya dola kwenye siasa, ujue kuna chama kiko madarakani bila ridhaa ya umma. Simple as that.
 

Hao wana kipaji chao mkuu:

Mwalimu Nyerere aliipenda nchi siyo CCM

Nyerere aliwatambua vyema mno 😁😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…