Haikande Hichilema rais kipenzi cha watu wa Zambia akiwa njiani alisimama ghafla kusemezana na wapiga kura wake kwa bashasha:
View attachment 1976912
Hakuna chopper juu, hakuna makomandoo wala wasiojulikana kumsuka suka mtu kama walivyo wasuka suka kina Dk. Diallo karibu kuangushwa chini [emoji16][emoji16].
Si mnakubalika? Si mmechaguliwa na watu? Si mlishinda kwa kishindo?
Hofu zenu hasa ni zipi basi?
Tupende tusipende tuna ya kujifunza kwa wengine.
View attachment 1977733
Utawala unatoka kwa watu si kushinikizwa kwa watu.
Kushinikiza, huo ni ubakaji!