Rais wa Zambia kama Rais wa Watu, Sisi Tunakwama Wapi?

Inaonekana huna taarifa kamili juu ya unayoandika. Wakati wa utwala wa Nyerere, ilikuwa ni mrufuku watu binafsi kumiliki bastora. Kabila aliuwawa na banyamulege wa kinyarwanda kwa maagizo ya Kagame, hakuwa na ulinzi wake mwenyewe bali alikuwa analindwa na Kagame.
 
Usijidhanie kujua sana pia.

Botha aliyerithiwa na de Clarke aliuawa na mlinzi wake kama ilivyokuwa kwa Kabila.

Bila shaka maagizo hayakuwa ya Kagame.

Hadithi za vijiweni ni vyema zikabakia zinakopaswa 😁😁.
 
Mtu haweZi kuuwawa na mlinzi wake, bali anauawa na mtu aliyekuwa anajifanya mlizi wake lakini siyo kweli; ndiyo maana ya kuhitaji uimarishaji wa ulinzi wa rais kiasi kuwa impostors hawawi kwenye timu hiyo. Indira Gandhi ni mmojawapo aliyepatwa na kadhia hiyo ya kulindwa na impostors. Kuhusu Kabila fuatilia documentary hii
 
Huwezi kufananisha na wezi wetu hawa wa kura...wanaogopa mpaka vivuli vyao
 
Aisee! Nimeshangazwa na hili. Msafara wa Rais wa ccm una gari zaidi ya 50! Kweli wanajua kuchoma kodi.
 
Ulinzi wa Rais gari zaidi ya 50!? Upuuzi.
 
Usijidhanie kujua sana pia.

Botha aliyerithiwa na de Clarke aliuawa na mlinzi wake kama ilivyokuwa kwa Kabila.

Bila shaka maagizo hayakuwa ya Kagame.

Hadithi za vijiweni ni vyema zikabakia zinakopaswa 😁😁.
Akirudi anaweza kuja kudai kuwa aliyemuua Botha alikuwa kibaraka wa weusi.
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½

Ulinzi wa kiongozi wa ccm ni ushamba tuu..
 
Ila ni kweli kuwa jiwe na hata Hangaya walianza anza hivyo. Hali kadhalika PK na Kagame ilikuwa hivyo Hivyo.

"Tatizo kubwa la nchi za Afrika ni marais wanaong'ang'ania madarakani." -- Alisisitiza Museveni akiingia madarakani miaka ya 80 😁😁.

Udikteta ni kipaji.

Madikteta hawachujuwagi muda kuuvaa uhusika wao. Agenda zikageuka. Malengo yakawa wao kudumu madarakani kama vipi milele kwa matumizi ya dola.

Aibu kubwa kwa Hangaya na yule bwana.
 
Shame on us. Gharama za ulinzi na msafara za sk moja tu unainua madarasa ya kutosha kwa ajii ya watoto kusomea. Kanchi kana kaGDP kiduchu kbs halafu ulinzi sawa na rais wa US, what for and for who? Typical nonsense.
 
Nakazia: "Typical nonsense."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…