Kuna serikali zinaweza, Bali shida hapa ni hii serikali ya CCMInshort serikali haiwezi biashara.
Mali hazina mwenyewe ndio maanaHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Incompetence culture ndio main problem ya biashara nyingi za serikali kutofanikiwaHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Incompetence culture ndio main problem ya biashara nyingi za serikali kutofanikiwaHivi kwanini serikali huwa inafeli kwenye biashara nini tatizo haswa?
Shirika limejaa makada, wanaiba wanafilisi hakuna anayejali. Alafu baadae wanaanza kulalamika kupata hasaraMeli mpya inachukua miaka takribani 15-20 bila kuchakaa.
Zile
Ni mei binafsi we matakooo
Sidhani kama zinauzika, meli ni mabovu tokea ziliponunuliwaHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Hata kwenye chuma chakavu nako zitakataliwa ?Sidhani kama zinauzika, meli ni mabovu tokea ziliponunuliwa
Kwani ni uongo kuwa kuna mafungu yanakwenda ccm?Wewe jamaa wa ajabu sana, inawezekana over 90% ya mawazo yako huwa unaiwaza ccm, itakujaga kukua bure, be careful.
Lengo ni upigaji tuHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Mkuu hiyo hasara inakuathiri vipi? unataka tupande punda au akina Sauli kwenda Kigoma au Mbeya na kwingineko, unadai hasara wakati hata kodi ulikuwa hulipi, yaani sasa umeanza kukatwa tozo ndio kelele kibao. Hata gaidi huwa anazipanda hizi ndege kwenda kwao KishimunduHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Huyu ni mpiga debe wa gaidi mkuu, bila kufanya hivyo haendi chooni.Wewe jamaa wa ajabu sana, inawezekana over 90% ya mawazo yako huwa unaiwaza ccm, itakujaga kukua bure, be careful.
Hapa ni ndege za kutembelea viongozi kwani mkuu hujuiHussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Abs that is where we fail as peopleMatakooo kama ya wana chichiemu yalivo makubwa pumbavu kabisa huyo haelewi kama zile ni binafsi na ukute ni chichiemu ndio vilaza kuwaza walishaishia mwisho
Si kweli, tena hapo tunazungumzia mazoea. Hilo ni tatizo kubwa sana katika Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Ni suala la serikali kutoa hizo figisu.bro biashara zina figisu nyingi sana. na serikal inataka kila kitu kifuate utaratibu. hicho kitu kwenye biashara hakitakiwi.
Kama haina faida ni sahihi ikiuzwa. Hii haipishani sana na A-T-C-L ambayo tangu mwano ni bora lingeanishwa shirika jipya na lenye mpango mkakati chanya wa kibiashara.Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .
Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
Nakuunga moono, kwa kuwa hata makampuni makubwa kama Mohamed Enterprises au Bakhresa na makampuni yote makubwa yana mitaji ya makampuni mengine ya uwekezaji ya nje. Bado wamiliki wa hayo makampuni ni matajiri wakubwa.Haina wataalamu wa mambo ya biashara na ujuaji ambao hauhusiani na biashara mwingi sana.
Kabla ya kuuza atupe plan yenye cost na benefit analysis ya mradi wake wa 'WAANZE UPYA'. Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia sisi, wazanzibar. Hata Royal Tour inatakiwa iwe na ushahidi wa kitakwimu kuwa tutapata faida kiasi gani.Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .