Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

Rais wa Zanzibar anaongea na watumishi na wadau wa kada ya Afya , JPM ongea na sekta ya elimu nchini.

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
153
Reaction score
388
Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa zimefunguliwa , ni vyema JPM akafanya kikao cha kwanza na wadau wote wa sekta ya elimu nchini bila kujali anatoka Private au Serikalini , awaite wote wajadili juu ya changamoto katika sekta ya elimu nchini naamini wanayo mengi ya kuyajadili na kuyasema kwa kufanya hivyo naamini kuna mabadiliko yatatokea , kama alivyofanya mkutano na wadau wa sekta ya Rasilimali Madini , Afya , Wafanyabiashara , kwasasa iwe zamu Elimu , hii italeta afya katika sekta ya Elimu nchini.

Kheri ya Mwaka Mpya 2021
 
Mimi ndio Jiwe kutoka Chattle, Sifanyi lolote na hamna la kunifanya kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi mkuu october 2020
 
Back
Top Bottom