Ukiangalia TV mathalan chanel Ten Rais Hussein Mwinyi yupo Live akipokea changamoto mbalimbali kutoka kwa wafanyakazi wa sekta ya afya Zanzibar ,ushauri wangu kwa Rais Magufuli ni kwamba tukianza mwaka mpya wa 2021 na kwa vile shule kuanzia ngazi ya chekechea mpaka high lever zitakuwa zimefunguliwa , ni vyema JPM akafanya kikao cha kwanza na wadau wote wa sekta ya elimu nchini bila kujali anatoka Private au Serikalini , awaite wote wajadili juu ya changamoto katika sekta ya elimu nchini naamini wanayo mengi ya kuyajadili na kuyasema kwa kufanya hivyo naamini kuna mabadiliko yatatokea , kama alivyofanya mkutano na wadau wa sekta ya Rasilimali Madini , Afya , Wafanyabiashara , kwasasa iwe zamu Elimu , hii italeta afya katika sekta ya Elimu nchini.
Kheri ya Mwaka Mpya 2021