Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi anatangaza Baraza jipya la Mawaziri. Hakuna Manaibu Waziri

Huko hakuna baraza la mawazir labda la mkoa
hapa ndipo watanganyika mnajitukanisha na kuonekana mmjielewi.
HILO la zanzibar kuwa mkoa wapo wanalitamani ila watakwenda wataondoka duniani bila kuliona hilo likitimia
 
Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri..
Nimependa majina yao kuwa yenye asili moja, hakuna jina lenye asili ya mabeberu! Labda kwa mbali Riziki na Tabia
 
Ntawashangaa sana ACT kama wakikubali kuingizwa kwenye hilo baraza
 
sasa wote hao wa nini wakati nchi yenyewe kama mkoa moja tu wa bara, si aendeshes nchi nzima peke yake tu kama mkuu wa mkoa. Ni kupoteza hela za umma tu.
 
Una ufahamu wa ukubwa wa mkoa wa Lindi?
Eneo la mkoa wa Lindi lina Ukubwa: 66,040 km²

Zanzibar (Unguja na Pemba na visiwa vyote) ina ukubwa wa eneo la
2,462 km2

Nikueleze tu Lindi ni kubwa mara 26.8

Kwa lugha rahisi kwa wasiojua hesabu ni kuwa kuna Zanzibar 26 ndani ya Mkoa wa Lindi.
Zanzibar yote ni kama mara mbili ya mkoa wa Dar es Salaam yenye ukubwa wa kilometa za mraba 1,393.
 
Mkuu nisamehe bure pengine nilikosea kuwasilisha mada kutokana na ufinyu wa taarifa.

Lakini ambacho nilikusudia ni kuwa zanzibar ni kama lindi tu kwa maana ile ya kuwa zanzibar haiizidi lindi ukubwa.

Kwa kqeli mambo ya kilomita za mraba umenipa utaalamu.

Naomba niedit pale ili kuweka sawa zaidi taarifa
 
Nisamehe pia kama nimewasilisha kwa mbwembwe.
Sisi watu wa takwimu huwa tuna wasilisha kwa namna hiyo.
Tupo pamoja mkuu.
Siku njema.
 
Hivi huko ni kweli Hakuna Mkristo hata mmoja? [emoji53]
 
Zanzibar kuna kadhi mkuu!

Hahahaha kule bwashee hadi kuna gwaride anakagua Amir wa Vikosi katika sikukuu ya kidini. Gwaride la Eid FFU wanavaa nadhifu kabisa na kofia zao za vinyoya.

Wengi wape. Ni haki yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…