sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
aibu tupuSisi wote ni ndugu 🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶
Watoto wa baba mmoja🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎵🎵🎵🎵🎵🎵
VP ni spare tyre na kama hakuna hitilafu kwny matairi yeye hana kaziNaona VP kapooza sana
Ila Mwinyi analeta ma deal mengi
WaZanzibar wametupiga na kitu kizito.Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,
Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la uchumi linalofanyika Jijini Doha. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya Washiriki ikiwa ni pamoja na Viongozi wa kampuni kubwa duniani na Viongozi wa juu wa Serikali.
Phillip Mpango hayupo, kawekwa kuwa pambo au?
Wale wafanyabishara wa Kariakoo wanajenga hoja kwa sauti, pumzi na msisitizo kiasi kwamba inaeleweka ila kuna viongozi wakubwa nchi hii hata sauti zao hazijulikani. Ninajua ni Watanzania wengi sana hawawezi tambua sauti ya VP wakimsikia anaongea bila kujitambulisha au kumuonaNaona VP kapooza sana
Ila Mwinyi analeta ma deal mengi
Basi hakuna umuhimu wa VP ila kufuja hela za walala hoi tuVP ni spare tyre na kama hakuna hitilafu kwny matairi yeye hana kazi
hata Samia akiwa Makamu alikuwa hana kazi
Hicho cheo kingeondolewa tuWale wafanyabishara wa Kariakoo wanajenga hoja kwa sauti, pumzi na msisitizo kiasi kwamba inaeleweka ila kuna viongozi wakubwa nchi hii hata sauti zao hazijulikani. Ninajua ni Watanzania wengi sana hawawezi tambua sauti ya VP wakimsikia anaongea bila kujitambulisha au kumuona
kwa hiyo Wewe kama hujawahi kuharibikiwa na Tyre kwa muda mrefu basi ndio tutasema huna haja ya kununua Jeki ya bei mbaya?Basi hakuna umuhimu wa VP ila kufuja hela za walala hoi tu
Yaani ni kama yule wa zamani ambae utamuona wakati wa ufunguzi tu anapopewa Mkasi basi
Watu wajinga Huwa hamkosekaniTumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,
Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la uchumi linalofanyika Jijini Doha. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na maelfu ya Washiriki ikiwa ni pamoja na Viongozi wa kampuni kubwa duniani na Viongozi wa juu wa Serikali.
Phillip Mpango hayupo, kawekwa kuwa pambo au?
mdogo wangu ngoja nikutume ili uzoee haya majukumu ikifika ule mwaka nikuachie uje huku upande wa pili mimi nishachoka nataka nikalee wajukuu.Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,