Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameidhinisha sheria mpya inayowalazimisha madereva wa magari kulipa tozo ya redio kabla ya kuweza kusajili au kupewa bima ya magari yao – hatua ambayo baadhi ya watu wameielezea kuwa kandamizi.
Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Utangazaji ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika yanasema kuwa ni madereva waliolipa ada ya shirika la utangazaji wa umma pekee ndio watakaoruhusiwa kununua leseni au bima ya gari.
Mapato yatakayopatikana kutokana na ada hiyo, ambayo ni dola 92 za Kimarekani kwa mwaka, yatakwenda kwa Shirika la Utangazaji la Zimbabwe (ZBC). Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria hiyo, madereva wasio na kifaa cha kupokea redio wanaweza kupata cheti cha msamaha iwapo watasaini fomu maalum kutoka kwa ZBC.
Zimbabwe ina takriban magari milioni 1.2, kwa mujibu wa takwimu za serikali, hali inayohakikisha mamilioni ya dola kwa ZBC – shirika ambalo kwa miaka mingi limekuwa likilaumiwa kwa upendeleo kwa chama tawala na kushutumiwa kwa kueneza propaganda, huku likikabiliwa na kupungua kwa mapato ya matangazo.
====================
A law that makes it mandatory for motorists in Zimbabwe to pay a radio levy before their vehicles can be licensed and insured has been approved by President Emmerson Mnangagwa, in a move that some people claim is draconian.
An amendment to the southern African country’s Broadcasting Services Act states that only motorists who have paid for a public broadcaster fee can buy a license or insurance for their cars.Revenue raised by the license, which costs $92 annually, goes to state broadcaster Zimbabwe Broadcasting Corp., or ZBC. Motorists without a radio receiver can get an exemption certificate from the public broadcaster if they sign a form, according to the law.
Zimbabwe has about 1.2 million vehicles, according to government figures, ensuring millions of dollars for a public broadcaster that has for years been accused of propaganda and bias towards the ruling party and which has struggled with declining advertising revenue streams.