Rais wakumbuke wakulima

Brilliant internationary

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
301
Reaction score
193
Habari za jioni wa ndugu leo napanda jukwaani kujadili jambo moja ambalo linanipa tabu sana viongozi wetu wamekua wakiamasisha kilimo kila siku lakini wameshindwa kuwatafutia soko wakulima wake madhani watu wa mkoa lindi mwaka huu wanateseka na mbaazi hawajui wamuuzie nan watu wamewekeza pesa nyingi lakin mpaka leo mbaazi hazina hata mnunuzi wa shilingi mia hivi kweli? Sasa kama mlijua haya mambo kwanini mnasumbua waindi ambavyo ndo wanunuzi wakubwa la zao hili la mbaazi mweshimiwa waone wakulima wako tunateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi haina MAONO wala DIRA. Hata mambo madogo tu yameshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…