Brilliant internationary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 301
- 193
Habari za jioni wa ndugu leo napanda jukwaani kujadili jambo moja ambalo linanipa tabu sana viongozi wetu wamekua wakiamasisha kilimo kila siku lakini wameshindwa kuwatafutia soko wakulima wake madhani watu wa mkoa lindi mwaka huu wanateseka na mbaazi hawajui wamuuzie nan watu wamewekeza pesa nyingi lakin mpaka leo mbaazi hazina hata mnunuzi wa shilingi mia hivi kweli? Sasa kama mlijua haya mambo kwanini mnasumbua waindi ambavyo ndo wanunuzi wakubwa la zao hili la mbaazi mweshimiwa waone wakulima wako tunateseka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app