Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
FB_IMG_17475688054823949.jpg
IMG_20250518_155725_228.jpg
IMG_20250518_162041_367.jpg
 
Msifieni na hili pia kuwa anaupiga mwingi.

Ilipaswa iwe ni kigezo cha lazima kwa mgombea urais awe na at least na Masters.

Elimu ya kukaa darasani ina umuhimu wake katika kuweza kumfanya awe analytical.

Athari ya elimu duni na kuwa na madaraka kunamfanya muhusika awe na uoga wa kuwa inferior mbele ya wasaidizi/washauri wake waliosoma zaidi kupelekea kukubali kila ushauri anaopewa bila ya kuwa na uwezo wa ku analyze kwa imani kuwa upo sahihi since umetoka kwa wasomi.
 
Bwana Crocodiletooth mbona leo umeandika nyiuzi nyingi kwa jambo hili kwani kuna tatizo?
Nina asili ya kutokupenda misuguano isiyo ya maana inayoweza kuepukika kwa rahisi mno, nilishauri kesi iwe ya ki digital, ikakubalika, ikatenguliwa yote haya ni kuepusha, fursa za waovu, kutopata mwanya wowote!, mfano hao akina # karua, sioni impact yao kwa lolote!.
 
Sasa kama kuja kwao hakuna impact iweje kutokuja kwao kuwe na impact?

Yaami ikiwa wewe kwenda msibabi hakuna impact basi hata usipoenda hakutakuwa na impact pia. Sijui kama nimeeleweka.
 
Sasa kama kuja kwao hakuna impact iweje kutokuja kwao kuwe na impact?

Yaami ikiwa wewe kwenda msibabi hakuna impact basi hata usipoenda hakutakuwa na impact pia. Sijui kama nimeeleweka.
Akina Martha wangeruhusiwa tu kuingia, wakalala kesho wanaenda zao kisutu, wakasikiliza mashauri, wakarejea makwao!
 
Wewe si unapenda kumsifia "mama yenu"!!!
Kweli, nampenda kweli, lakini Wana ccm tunatabia ya kuambiana ukweli tu, chama hiki ni chama cha haki kina demokrasia ndani yake, lakini hatutukanani wala hatutukani yeyote!
 
Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....
Martha aruhusiwe kivipi wakati yeye na wenzake tayari washarejeshwa kwao?!

Makaburu wa ccm walikuwa wanadanganya dunia kuwa wanaendesha nchi vizuri, sasa wanazidi kujivua nguo wenyewe kizembe sana
 
Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead! View attachment 3338139
Huyu Bob amefungiwa kila kona, Tanzania 🇹🇿, Uganda 🇺🇬 nk

Lazima ajifiche ktk kichaka cha karua... ukiingilia mambo ya ndani ya nchi za watu ni lazima yakukute haya.

Lazima utambue mipaka yako

Ukiingia ktk pages za balozi za marekani zinasema kupewa visa pamoja na kusafiri mpaka marekani sio ndio unaweza kuingia marekani, bado unaweza zuiliwa airport na kurejeshwa nyumbani na visa yako mkononi

Mambo ya kawaida. Ukiwa raia wa nchi husika bado nchi yako inaweza kukuzuia kutoka au kusafiri kwenda nje ya nchi yako, mifano ipo
 
Back
Top Bottom