Rais wangu Samia huongei kama Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Serikali

Umevunja TV ipi hiyo ww boya, vunja hy TV kama hujalala nje ww na dada ako hapo kwa shemeji yako.
Nimevunja ya chumbani ntashuka chini kuangalia ya sebuleni kesho asubuhi au ya kibarazani nje pia nikitaka ninayo ya outdoor kitchen kwenye babeque pavilion jumla nyumba ina TV 8 NDOGO Kabisa nchi 65 curved smart QLED 9500 sijui kama hata unajua specs ?
 
Sawa mama mkwe
 
Sawa mama mkwe
kama unalelewa usidhani wote tilibalehe miaka hiyo kabla ya Y2K dogo na tulishajitafuta sana tukajipata kiasi na dunia tumeshaitembea tembea endelea kusubiri maandamano uibe vimali vya laki 2 au kama unabeba boksi huko beba sana kwa juhudi fala wewe
 
Wewe vunja tv ukimaliza jinyonge kwa hasira.

Kwanza huyo mama yako anajijua hana mamlaka kwa maana hajashinda uchaguzi
 
We una ubongo wa bata humo kichwani.
Mwenzako Samuya ana maisha magumu huko aliko
Lini ulisikia Putin anapiga raia risasi za kifuani na kuwauwa,
basi wewe unaangalia njombe tv tu , angalia tv za kimataifa au google youtube
 
Ungejipiga kidole makalioni kama kweli una hasira
 
Hapo kwenye kuwasemehe wahaini ..kaonesha utu wa hali ya juu ..ila wangehukumiwa walau miaka 10 tu wapate kujifunza...katoa msamaha mwepesi...
upo sahihi sana wangekula angalau kifungo cha maisha basi
 
Huna hoja
sawa lakini kuna saa nikiangalia video nafurahi kidogo nikikumbuka walivyokuwa wanajifanya vichaa siku ya kwanza na ya pili aiseee shenzi kabisa eti tumebakiza ikulu na kariakoo tu enheee enheee enheee ndoto za majambazi bana
 
Ndo maaana nasema anapenda unafki leo ndo ilikuwa siku ya kutuma ujumbe, Angewaagiza vyombo vyote vya ulinzi na usalama kunyonga haraka mno ili huu ujinga usijirudie tena ,
Utamsaidia kutumikia kifungo chake? Manake the hague inapiga jaramba
 
Hapo kwenye kuwasemehe wahaini ..kaonesha utu wa hali ya juu ..ila wangehukumiwa walau miaka 10 tu wapate kujifunza...katoa msamaha mwepesi...
Hakukua na kesi ya uhaini pale. na hii kesi pia mawakili wa serikal walikuwa wanaenda kuaibika mahakamani again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…