Rais wangu Samia huongei kama Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa Serikali

kwani huo uhai wa mwizi jambazi unasaidia nini ?
Kwa jazba hiz ndio maana gov huwa wanayumba wakifika mahakamani. kwanza sheria gani inasema wauliwe on the spot? Na wamekuwaje categorized kuwa ni majambazi?
 
wengi wenu mlikuwa hampo au hampo nchini ungewaona au ungekutana nao ndo tungekuwa tunaongea lugha moja wale ni majambazi ni wa kunyongwa tu ni mbegu chafu mno
 
Kwa jazba hiz ndio maana gov huwa wanayumba wakifika mahakamani. kwanza sheria gani inasema wauliwe on the spot? Na wamekuwaje categorized kuwa ni majambazi?
ndugu kwa heshima kabisa naomba nikueleweshe hali ilivyokuwa
1. Ili uzuie kwa maji na mabomu inabidi wawe wanakuja na kelele na mawe labda, na iwe ni sehemu moja nikupe mfano wangu, walianza Uyole njia ya Tukuyu wamepiga kituo cha polisi na majengo ya njiani wa wanaccm, hapo hapo kuna kundi ilomba huko wanachoma, mafiati wanchoma, mbalizi tayari tra inaungua uzunguni walianza jirani na sigara , Tukuyu wamekiwasha , Kyela wamekiwasha, Tunduma , vwawa wamekiwasha hapo polisi wajigawaje kwa hiyo ika ni wakikuta mahali wanapiga watu 8 mpaka 10 wakati jamaa wanaendele a kuokota watu wao nao wanahama wanawahi kulikochangamka wanawachapa kadhaa wanahama kumbuka polisi waliokuwa na ujasiri wa kurusha risasi za moto ni vijana MAHIRI wa anti robbery tu hao nawajua huwa tunawapaka mshiko wawe wanapita pita kwenye biashara zetu usiku na incase tuna emergency waje chap polisi wa kawaida wengi walikuwa waoga
2. Kuna mida wanajaribu mahali mchana wakishindwa wanarudi saa nane usiku sasa hao waandamanaji kweli kuna gas station waliijaribu mara nne ndo maana mimi siwezi kuwapa jina lingine zaidi ya majambazi na vibaka 4 times the same place hayo maandamano ?

NYIE WENGI MPO NJE AU HUKUWAONA LIVE NDO UTAKUWA NA HURUMA, YAANI MIMI LEO SERIKALI IKITANGAZA KUWA WANATAKA KUWANYONGA MTU AJITOLEEE KWENDA KUWAKATA VICHWA NITAHONGA HATA MILIONI 30 HIYO NAFASI NIIPATE nawachukia mpka basi siku 5 unalala robo saa robo saa wasipite kwenye biashara zenu , wezi wakubwa mbwa wale
 
Hawa ndiyo aina ya vijana pale lumumba akili zao ni kuteka watu na kuua hawana cha maana zaidi ya roho za mauaji .

Utamsaidia kutumikia kifungo chake? Manake the hague inapiga jaramba
kule hamna meno kwani lazima uwe member si unajitoa na hawana jeshi wale , yaani mlivyo wajinga badala ya kushauri jamaa wa sudan wapelekwe walioua watu milioni 2 una shauri Samia ambaye wamekufa majambazi 600 na raia wema kama 50 kwa bahati mbaya ? kweli una matope kichwani
 
Nahisi nachat na jini mnywa damu si binadamu halisi. Kila laana katika mipango yako ovu ya mauwaji
 
Jibu lako halina contest wala content, na si kwlei kila anaekujibu yupo nje ya nchi. Punguza kukariri

Once again narudi pale pale unafahamu miongoz ya askari polisi kwenye utulizaji wa ghasia?
 
Watu wa aina yako ni mzigo mkubwa kwa taifa hili.
 
Kwahyo unataka kumlinganisha huyo bibi yenu na Magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…