Nasema hivyo kwa sababu!
Rais wetu kashafanya ziara ndani ya nchi yetu hususani kwenye mikoa ile ile mara mbili au tatu lakini hatujaona ikifanya hivyo kusini mwa nchi!
Mfano Rais wetu katembelea mara tatu mwanza na geita pia kwa kanda ya ziwa! Pia Arusha na Kilimanjaro katembela nako sio chini ya mara tatu!
Dodoma pia kwa kuwa ndio makoa makuuu ya nchi napo yupo kutokana na majukumu ya kiserkali! Lakini mzunguko umekuwa uleule wa Dar -Zanzibar-arusha -mwanza na Dodoma!
Ili kuleta hamasa kwa wananchi ni vizuri hata wao wa mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini kama Mbeya ukawatembelea ili nao wajione kuwa uko nao! Utamaduni wa mwafrika ni kutembeleana na kujuliana hali na mtu asipokutembelea anakuwa kama kakutenga!
Mikoa hii ndio mikoa itoayo mazao ya chakula kwa wingi sana na mchango wake katika GDP ya nchi ni mkubwa! Mfano mikoa ya kusini mwa nchi inamazo kama Korosho zao ambalo huchangia pakubwa sana katika pato la taifa pia mikoa ya Mbeya, Mjombe na Iringa ndo mikoa ya uzalishaji mkubwa wa chakula mpaka ikafikia mda ikaitwa ghala la chakula!
Hili jambo la kutembelea wanachi litamleta Rais umaarufu na kujua changamoto wanazopia badala ya kutembelea maeneo yale yale kila siku!
Nchii hii ni yetu sote na Rais ni wa wote chonde chonde mama kipindi ya Magufuli maeneo ya kusini pia hakuyatembea sana na wewe jitahi usiwe kaka Magufuli!
Asante!