Rais wetu hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta, msijipe matumaini

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Rais wetu hapa Tanzania hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta with a signifucant figure ila ana uwezo wa ku-regulate non pricing factors za mafuta.

Bei ya mafuta iko juu globally sio Afrika tu hata kwenye metropolitan countries ambazo ni dona countries, ndo zinazo determine prices za mafuta hapa Tanzania hamna price mechanism as factor to determine prices i.e (forces of demand vs forces of suply)

Currency au pesa za nchi za Africa hasa Tanzania ziko-pegged na currency ya dollars, nchi zingine na pounds or euros kwahiyo hatuwezi kuzi-control hizo currency kama ku-devalue ili bei ya mafuta ishuke na other international commodities. BOT haina mamlaka nazo lazima tu wa fuate wao,

Kama mafuta ya mepanda bei US Wingereza Ugerumani Ufaransa ni kua "economically novice" kufikiri kwamba mama Samia atasimama Ikulu dodoma atangaze kwamba ni meondoa sh 1000 kwenye bei ya mafuta haiwezekani hiyo ni day dreaming, sawa kodi ya serikali kwenye kila litre ya mafuta ni zaidi ya sh1600 ila hiyo iko pale kwa makubaliano fulani na metropole contries kulipa mkopo fulani uliomba, kwasabb kwenye proposal ya kulipa chanzo ulionyesha kodi itakao toka kwenye mafuta kwahiyo sio rahisi kuifuta mambo mengi yatakwama.

Raisi wetu ana uwezo wa kushusha bei ya nondo cement Pembejeo sukali nk. Kwasabb tunazalisha wenyewe au kupunguza bei ya mafuta kwa sh 200 au 150 ili apunguze kelele za laymen.

Hivi vinchi vyetu vya Ldcs vinakua controlled na mataifa makubwa ila viongozi wetu hawataki kutuambia na kutuweka bayana ni kama wana jishusha hadhi ya (national sovereignty) ukweli lack of economic transparency ni kubwa sanaa Africa kuna kiongozi wetu moja alikua anakopa usku mchana anatoka anasema tuna tumia pesa yetu ya ndani mwisho wa siku tunakua kwenye (debt trap) inayo tufanya tupangiwe bei ya vitu hususani International commodities kama fuel ili tuweze kulipa hilo deni na tuweze kukopa deni jipya, kwahiyo mstegemee kwamba raisi anauwezo wakupunguza bei ya mafuta with asignificant figure.
 
Ila maswala ya uchumi yanachanganya si mchezo!,nachojua mwenzako akizira kunywa wewe ambae hujazira unapata kingi zaidi maana unakunywa na cha mziraji!,huko ni kwenye uji turudi kwenye uchumi sasa!.. hata nguvu ya kuandika nakosa maana nasikia kuna sauti inaniambia "kenzy uchumi sio uji!!,uchumi unachumu Sana!"..😂
 
Raisi wetu hapa Tz hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta with a signifucant fingure ila ana uwezo wa ku-regulate non pricing factors za mafuta

Bei ya mafuta iko juu globally sio Africa tu hata kwenye metropolitan countries ambazo ni dona countries, ndo zinazo determine prices za mafuta hapa Tz hamna price mechanism as factor to determine prices i.e (forces of demand vs forces of suply)

Currency au pesa za nchi za Africa hasa Tz ziko-pegged na currency ya dollars, nchi zingine na pounds or euros kwahiyo hatuwezi kuzi-control hizo currency kama ku-devalue ili bei ya mafuta ishuke na other international commodities. BOT haina mamlaka nazo lazima tu wa fuate wao,

Kama mafuta ya mepanda bei US Wingereza Ugerumani Ufaransa ni kua "economically novice" kufikiri kwamba mama Samia atasimama Ikulu dodoma atangaze kwamba ni meondoa sh 1000 kwenye bei ya mafuta haiwezekani hiyo ni day dreaming, sawa kodi ya serikali kwenye kila litre ya mafuta ni zaidi ya sh1600 ila hiyo iko pale kwa makubaliano fulani na metropole contries kulipa mkopo fulani uliomba, kwasabb kwenye proposal ya kulipa chanzo ulionyesha kodi itakao toka kwenye mafuta kwahiyo sio rahisi kuifuta mambo mengi yatakwama.

Raisi wetu ana uwezo wa kushusha bei ya nondo cement Pembejeo sukali nk. Kwasabb tunazalisha wenyewe au kupunguza bei ya mafuta kwa sh 200 au 150 ili apunguze kelele za laymen.

Hivi vinchi vyetu vya Ldcs vinakua controlled na mataifa makubwa ila viongozi wetu hawataki kutuambia na kutuweka bayana ni kama wana jishusha hadhi ya (national sovereignty) ukweli lack of economic transparency ni kubwa sanaa Africa kuna kiongozi wetu moja alikua anakopa usku mchana anatoka anasema tuna tumia pesa yetu ya ndani mwisho wa siku tunakua kwenye (debt trap) inayo tufanya tupangiwe bei ya vitu hususani International commodities kama fuel ili tuweze kulipa hilo deni na tuweze kukopa deni jipya, kwahiyo mstegemee kwamba raisi anauwezo wakupunguza bei ya mafuta with asignificant figure.
Nani alikufundisha kwamba devaluation inafanya imports kuwa cheap?
 
Devaluation ina many economic implication both short term na long term lakini hapa Subject matter ni hatewezi control dollar na kwahiyo mafuta yatabaki juu tunayanunua kwa dollar
 
Afanye devaluation au revaluation?
 
Hali ni mbaya sana duniani kote jamani mtake msitake
Hapa [emoji636] leo wamesema kila watu 7 mmoja wao ana lala njaa na wengine wana skip mlo au miwili kwa siku

Kuna mama mmoja (89) baada ya gas kupanda bei kashindwa kumudu gharama Kwa hiyo kila asubuhi anapanda mabasi (bure) na kuzunguka siku nzima kwa sababu yana heater Boris kaambiwa hilo jana kuhusu huyo mama kabaki kujiumauma tu

Maisha ni magumu kwa baadhi ya watu ila mimi nayamudu bado jambo la kushukuru

Muwe wavumilivu tu hali itakuwa mbaya zaidi haitashuka
Wazungu wana jambo lao
 
Uwezo anao tena ni mkubwa. Katika kipindi hiki kigumu atoe Tozo zinazofikia sh 300 kwa lita then Serikali ibane matumizi kufidia tozo iliyotolewa kwenye mafuta
 
Hizo tozo nyingi zinalipa madeni ya jpm debt service ili tuweze kupata mikopo mipyw kubuka bajeti yetu ni deficit bajeti kwa 43% sasa ukiendelea kuondoa mapato hiyo deficit itaongezeka tukose na basics kama dawa na mishahara ya watumishi
 
Vipi gesi ya Mtwara haiwezi kusaidia kupunguza bei ya mafuta au na yenyewe inalipia mikopo?
 
Vipi gesi ya mtwara haiwezi kusaidia kupunguza bei ya mafuta au na yenyewe inalipia mikopo?
Bado hiyo ijafika kwenye production level miundombinu bado inajengwa na mikataba haiko wazi hujui makubaliano na wawekezaji.
 
Hizo tozo nyingi zinalipa madeni ya jpm debt service ili tuweze kupata mikopo mipyw kubuka bajeti yetu ni deficit bajeti kwa 43% sasa ukiendelea kuondoa mapato hiyo deficit itaongezeka tukose na basics kama dawa na mishahara ya watumishi
Mbadala wa tozo ni kupunguza matumizi yasiyo ya lazima katika kipindi hiki kugumu. mfano mmojawapo tu ni mtu anazunguka nchi nzima na helkopta kuhamasisha sijui nn. na kuna mifano mingi tu. Hata nyumbani kwako ukiona hali taiti cha kwanza unapunguza matumizi yasiyokua ya lazima ili kuleta unafuu kwenye familia. kama ulikua unaenda vacation kila mwezi una cancel, mlikua mnatumia magari matatu kwa siku kwenda kazini na mishemishe mnatumia moja tu nk. ukiendelea kukomaa na matumizi yale yale mtakosa vitu vya muhimu ndani ya nyumba
 
Devaluation ina many economic implication both short term na long term lakini hapa Subject matter ni hatewezi control dollar na kwahiyo mafuta yatabaki juu tunayanunua kwa dollar
Kupanda kwa bei za mafuta kwa sasa hakuhusishi thamani ya Dollar.

Hata huko US wanaomiliki dollar, makampuni ya kuchimba mafuta na gesi, kuwa na refinery za kutosha ila bado gharama ya mafuta ni kubwa kuliko kwetu sisi na inazidi kupanda.
 
Back
Top Bottom