Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Raisi wetu hapa Tz hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta with a signifucant fingure ila ana uwezo wa ku-regulate non pricing factors za mafuta
Bei ya mafuta iko juu globally sio Africa tu hata kwenye metropolitan countries ambazo ni dona countries, ndo zinazo determine prices za mafuta hapa Tz hamna price mechanism as factor to determine prices i.e (forces of demand vs forces of suply)
Currency au pesa za nchi za Africa hasa Tz ziko-pegged na currency ya dollars, nchi zingine na pounds or euros kwahiyo hatuwezi kuzi-control hizo currency kama ku-devalue ili bei ya mafuta ishuke na other international commodities. BOT haina mamlaka nazo lazima tu wa fuate wao,
Kama mafuta ya mepanda bei US Wingereza Ugerumani Ufaransa ni kua "economically novice" kufikiri kwamba mama Samia atasimama Ikulu dodoma atangaze kwamba ni meondoa sh 1000 kwenye bei ya mafuta haiwezekani hiyo ni day dreaming, sawa kodi ya serikali kwenye kila litre ya mafuta ni zaidi ya sh1600 ila hiyo iko pale kwa makubaliano fulani na metropole contries kulipa mkopo fulani uliomba, kwasabb kwenye proposal ya kulipa chanzo ulionyesha kodi itakao toka kwenye mafuta kwahiyo sio rahisi kuifuta mambo mengi yatakwama.
Raisi wetu ana uwezo wa kushusha bei ya nondo cement Pembejeo sukali nk. Kwasabb tunazalisha wenyewe au kupunguza bei ya mafuta kwa sh 200 au 150 ili apunguze kelele za laymen.
Hivi vinchi vyetu vya Ldcs vinakua controlled na mataifa makubwa ila viongozi wetu hawataki kutuambia na kutuweka bayana ni kama wana jishusha hadhi ya (national sovereignty) ukweli lack of economic transparency ni kubwa sanaa Africa kuna kiongozi wetu moja alikua anakopa usku mchana anatoka anasema tuna tumia pesa yetu ya ndani mwisho wa siku tunakua kwenye (debt trap) inayo tufanya tupangiwe bei ya vitu hususani International commodities kama fuel ili tuweze kulipa hilo deni na tuweze kukopa deni jipya, kwahiyo mstegemee kwamba raisi anauwezo wakupunguza bei ya mafuta with asignificant figure.
There's some truth to this.