Rais wetu hana uwezo wa kushusha bei ya mafuta, msijipe matumaini


There's some truth to this.
 
Mimi nimekuelewa vizuri sana Mkuu.
 
Uhuru wakweli ni Uhuru wa Uchumi:- JPM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo tozo nyingi zinalipa madeni ya jpm debt service ili tuweze kupata mikopo mipyw kubuka bajeti yetu ni deficit bajeti kwa 43% sasa ukiendelea kuondoa mapato hiyo deficit itaongezeka tukose na basics kama dawa na mishahara ya watumishi
Kwani JPM kakukosea nn? Wakati wake aliweka kias gani cha fedha katika mafuta? Kama tulimaliza deni la TAZARA kwa mchina Awamu 5 shida ikowap sasa kulipia maden?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiaangalia utitiri wa matozo kutokea kwenye bei halisi wanayonunulia mafuta kwa CIF huko nje ambayo haifiki Tshs.1,300 hivyo ina maana ukiongeza na huo utitiri ndio mlaji wa mwisho wa Dar ananunua kwa Tshs.3100 ina maana kuna karibia buku 2 za matozo tu.

Kuishusha hiyo bei inawezekana kabisa wakiacha kujifikiria wao tu,mbona Zanzibar ni Tshs.2600?
 
Umeandika ujinga mama kasema waangalie maeneo mfano kupunguza matumizi yakawaida serikalini ili fedha hizo zikapelekwe huko Kama ruzuku kwenye makampuni ili tupunguziwe Bei ya mafuta .......
 
Mkuu ni kweli ila huo utitiri wa tozo ulishwa pangiwa matumizi na huenda na mikopo ilisha ombwa kwa kutegemea tozo hizo kuziondowa, serikali itakwama mahara katika uendeshaji wake.
 
Hizo tozo nyingi zinalipa madeni ya jpm debt service ili tuweze kupata mikopo mipyw kubuka bajeti yetu ni deficit bajeti kwa 43% sasa ukiendelea kuondoa mapato hiyo deficit itaongezeka tukose na basics kama dawa na mishahara ya watumishi
Hakuna madeni ya JPM, sema madeni ya nchi. Magufuli amezikwa na SGR?
 
Zenji sio nchi kamiri haitambuliki na imf au world Bank kama ni mikopo wanaipata kupitia mgongo wa TZ
Hujajibu swali, acha ujanja ujanja iweje mafuta yawe 2800 huku 3300? Wamefanya nini ambacho bara kinatushinda?
 
Hujajibu swali, acha ujanja ujanja iweje mafuta yawe 2800 huku 3300? Wamefanya nini ambacho bara kinatushinda?
Mkuu zenji haipangiwi bei na metropole nations kwasbb haitambuliki kwenye account za imf en world Bank kama nchi huru, anae paswa kupanga bei kule zenji ni Tanzania ambaye ineshindwa kudhibiti hilo.
 
Kupanda kwa bei za mafuta kwa sasa hakuhusishi thamani ya Dollar.

Hata huko US wanaomiliki dollar, makampuni ya kuchimba mafuta na gesi, kuwa na refinery za kutosha ila bado gharama ya mafuta ni kubwa kuliko kwetu sisi na inazidi kupanda.
Acha uongo hii hapa ni manhattan, bei ni kwa gallon. Ukipiga hesabu ni kama 8,900 tsh.
Ambapo gallon 1= lt 3.7
 
Shida hiyo mikopo ndio inanyia nini
7 bill royal tour phase one.
Anafanya nn kupunguza bei ya vitu produced in our own country HAKUNA
Naangalia taarifa ya habari hapa msd chombo cha 36 million kimenunuliwa 139 million na hiyo ni kodi / tozo ya wananchi ambao wanastruggle na inflation aiseh
Hapo ndipo anapofeli tu kikubwa.
Unapokea laki tano ukiitoa tu tozo while umeilipia kodi pia how are you surviving
Its very hard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…