Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Team Jf,
Salaàm!
Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk
Mtandao unaoshika sana eneo lile ni wa Rwanda maarufu kwa jina la MTN. Sasa hii husababisha mambo yafuatayo:-
(a). Kuchelewa kufanya malipo ya Serikali kwa kutumia mitandao yetu;
(b). Client kuchelewa kuendelea na safari zao;
(c). Mrundikano wa wataka huduma hasa wanaoingiza bidhaa toka nchi jirani kwa kupitia boda hiyo; na
(d). Serikali kupoteza mapato ya uzingativu wa rasilimali muda.
Rais, wetu sisi tunakupenda na kukuombea kila jema juu yako. Tunaipenda pia Serikali unayoingoza. Hata tunaomba uimara wa mawasiliano ktk boda HIYO.
Msakila Kabende
(Kakonko)