Rais wetu

Rais wetu

JK kama kaoa si binti wa aliyekua waziri wa fedha kwani mama ana mabinti wawili na wote wameolewa na wako kwa waume zao. Hii ni nyepesi nyepesi tuu. JK ana right of up to 4 of them.
 
mimi naunga mkono jamani hhi ni private life yake sisi tuangalia what he does for us
 
Hapa JF kuna watu kila aina.Huyu naye kasikia tetesi akaona ni kitu muhimu sana akakifikisha.Kila mtu ana kiwango chake cha kufikiri na kuamua.
Na sasa nadhani hii thread imalizike kwa sababu ikishajulikana kuwa ni uzushi basi yaishe.
Siku nyingine kabla hujakurupuka fanya utafiti maana unaweza kujikuta unaandika utumbo na members wakaamua kukutolea nje.
Pamoja na kwamba hapa kila mtu anao uhuru na kuthubutu kusema chochote basi haidhuru mada iwe na mantiki.
 
Back
Top Bottom