Rais William Ruto amepata kibali rasmi cha Bunge kuwateua Mawaziri wa Serikali yake ambao wataanza kazi leo Oktoba 27, 2022 baada ya kupitia mchujo wa Kikatiba kwa takriban wiki 2
Mawaziri hao pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wanatarajia kuapishwa na Rais katika Ikulu ya Kenya jijini Nairobi.