Wameshindwa Somalia, watawaweza M23?
Wewe mwenyewe unaliwa kiboga na uko nyumbani kwako na mke na watoto!al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Somalia ngoma nzito mkuu.Wameshindwa Somalia, watawaweza M23?
Makazi ni addressSomalia ngoma nzito mkuu.
Unapigana na hewa haha.
Gaidi anavaa kiraia na hana makazi wala address
Sawa mwambaMakazi ni address
Somalia ngoma nzito mkuu.
Unapigana na hewa haha.
Gaidi anavaa kiraia na hana makazi wala address
Somalia sio jangwa ni semi arids ndo maana Kuna msimu wa mvuaal shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Uhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nimekumbuka 1978 Mutukula