Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

IMG_0750.jpg

IMG_0748.jpg

KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
 
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
 
Wewe mwenyewe unaliwa kiboga na uko nyumbani kwako na mke na watoto!
 
Uhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Somalia sio jangwa ni semi arids ndo maana Kuna msimu wa mvua
 
Uhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

Nadhani hauelewi modal ya uasi wa Congo na Somalia na mapigano ni tofauti, somalia alshabaab hutumia raia kama ngao hao M23 wako field wanapigana kabisa
 
Back
Top Bottom