Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.
ndege JOHN ni wewe kivingine?
 
Hebu tuwekee hapa mission/Vita ambazo KDF imepigana ili tuone uzoefu wake kulinganisha na UPDF.

Zisianze story sijui nchi flani Ina budget kubwa ya jeshi kuliko nyingine,maana Vita Ni zaidi ya budget na imeshakua proven hivyo Mara kibao.

So nasubiri unitajie hizo mission/Vita kdf ilizopigana mkuu.

Ni wazoefu wa kulinda amani na UN imewatumia sana toka miaka ya 1979, baadhi ya mission ni kama ile ya Namibia, Crotia, Msumbiji, Iran - Iraq war walikuepo, kuwait, Rwanda, Angola, Liberia, Sierra Leon, south Sudani, Bosnia-Herzegovina, Congo na western sahara, mission zote hizo wameshiriki na baadhi hapo hawa kulinda amani tu bali waliintergrate kabisa battle field maana walikua wakiamshiwa nao wanapeleka moto hiyo ni kwa ufupi.
 
Thread 'DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto' DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

Kwani kipi alisema uongo, wacongoman sio watu wa kazi wanaweza muziki na kujichubua na kusuka akina mama, sema aliisema kama utani lakini ndio ukweli wenyewe japo kidiplomasia haikua poa lakini wacongoman wajifunze kua watu wa kazi nchi yao ni tajiri lakini wanaishi kwenye umaskini uliotopea, wapeleke wakenya waishi Congo miaka 30 mbele kaiangalie tena na wakongo wapeleke Kenya baada ya miaka 30 kaangalie hali ilivo hata angesema tu uvivu wa watanzania na kupenda kulalamika ni sawa tu
 
M23 wamedekezwa tu.
Wakongo wamelegea sana.
M23 wana zana dhaifu lkn wanaisumbua nchi.

Tuone kama Kagame atajenga uhasama na Kenya kama alivyomfanyia Kikwete
Nakumbuka kamanda Mwakibolwa aliwachakaza M23 mpaka kagane akamnunia JK.
 
Post in thread 'DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto' DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto
Yaani hata sasa hivi wacongo hawamkubali kabisa Ruto baada ya kuwakebehi,Tshisekedi kipindi Cha kampeni za Ruto vs Odinga alivaa mpk skafu yenye bendera ya ODM akim-support Odinga.

Kenya hawafanyagi kazi za bure,wanaenda DRC maana huko wameshaanza kufungua ma-bank yao(KCB na Equity) zimeshafungua ofisi huko na sababu ya population kubwa ya DRC manufacturing co. Za Kenya zimepatolea macho congo.

Hapohapo Kenya wanajaribu kwenda polepole na Kagame maana faida kubwa za ma-bank ya kikenya kwa hapa E/Africa zinatoka Rwanda Rwanda leads region with profits for Kenyan banks

Ngoja tuone what's next.
 
Kama kutakua Hakuna pressure ya kutoka USA kwenda kwa Rwanda khs support Yao kwa M23 na then KDF hawezi kutoboa kamwe.

Everything is planned wewe subiri ujionee mwenyewe hali itakuaje
 
Uhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuchota madini
 
Kwani kipi alisema uongo, wacongoman sio watu wa kazi wanaweza muziki na kujichubua na kusuka akina mama,
😂😂🤣 Wacongo hawajui kwanini kuna Poxy wars kwenye ardhi yao, wawasafishe FLDR kwanza waone.

Rwanda walishasema NEVER AGAIN mauaji ya Kimbari.
 
KDF wanaenda kuhakikisha bandari yao inazidi kupokea mizigo ya kwenda maeneo ya Ben, banged Sido, mambasa, bafaswende, niania, butembo, kisangani kote bidhaa zao hupitia mombasa port, bado baadhi mizigo ya Goma na Bukavu hupitia Mombasa port, wana KCB huko, wana Equity Bank, zote ziko congo lakini pia makampuni yao yamewekeza kwenye kilimo kwa sasa pale DRC , lakini pia baadhi ya dhahabu huuzwa nairobi ikitokea Congo, yaani waache kulinda maslahi yao kwa kuhakikisha amani Congo inakuepo kisa Kagame no way
 
Kenya hawafanyagi kazi za bure,wanaenda DRC maana huko wameshaanza kufungua ma-bank yao(KCB na Equity) zimeshafungua ofisi huko na sababu ya population kubwa ya DRC manufacturing co.
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdaganya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.

Maiti za Wajaluo zitakuwa zinapishana kuzikwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787] Wacongo hawajui kwanini kuna Poxy wars kwenye ardhi yao, wawasafishe FLDR kwanza waone.

Rwanda walishasema NEVER AGAIN mauaji ya Kimbari.

FDLR sio tishio kwa usalama wa Rwanda utambue hilo kwanza yaani mkimbizi anayeishi uhamishoni anakua threat sababu ya nini? Na wakati huo kagame akaingia ujinga kila aliyempinga au aliyehisi alikuepo kinyume nae kwenye mauaji ya kimbari alimfuata kokote na kumuua au akahakikisha anafungwa maisha, uzuri wahutu waliuawa wengi kuliko watutsi na wakageuza kibao makusudi kwa maslahi yao
 
Acha kutukana askari mtu wangu, hujui magumu wanayopitia, weka au jenga utani kwenye ishu zingine
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
 
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdanya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.

Maiti za Wajaluo zitakuwa zinapishana kuzikwa.

Aden Duale kahusika nini tena wakati issue ilikua engineered toka matiangi akiwa madarakani, na uhuru alikubali kupeleka jeshi toka alipoitembelea kinshasa hivo wala hakuna jipya pale Ruto kateleleza tu mikataba waliyoingia
 
FDLR sio tishio kwa usalama wa Rwanda utambue hilo kwanza yaani mkimbizi anayeishi uhamishoni anakua threat sababu ya nini
Mkimbizi akibaeba silaha anakuwa threat mzee.
 
Mkimbizi akibaeba silaha anakuwa threat mzee.

Uliwahi kuona popote fdlr waneishambulia Rwanda? Hicho ni kivuli cha kagame aendelee kuikalia Congo lakini dunia imeshamstukia muda mrefu na inaelekea kumchoka na itamtema maana sasa kazidi
 
Ni wazoefu wa kulinda amani na UN imewatumia sana toka miaka ya 1979, baadhi ya mission ni kama ile ya Namibia, Crotia, Msumbiji, Iran - Iraq war walikuepo, kuwait, Rwanda, Angola, Liberia, Sierra Leon, south Sudani, Bosnia-Herzegovina, Congo na western sahara, mission zote hizo wameshiriki na baadhi hapo hawa kulinda amani tu bali waliintergrate kabisa battle field maana walikua wakiamshiwa nao wanapeleka moto hiyo ni kwa ufupi.
Kama kigezo Ni mission za UN,then kwa takwimu za September,2022 Rwanda kwa africa ndio inaongoza kwa kua na wanajeshi wengi Kwny mission za UN na kwa dunia Ni ya 4 nadhani,ikiwa na wanajeshi 5752,Tz Ina 1487,Uganda 647,Burundi 774,Kenya 349.

Je,kwa takwimu hizo zitaifanya Rwanda kua na superior army kulinganisha na Wenzake kwa Sababu ya hizo mission za UN?
 
Uliwahi kuona popote fdlr waneishambulia Rwanda? Hicho ni kivuli cha kagame aendelee kuikalia Congo lakini dunia imeshamstukia muda mrefu na inaelekea kumchoka na itamtema maana sasa kazidi
Rekodi zipo mzee ndio maana Rwanda wanaweka Buffer zone.
 
Back
Top Bottom