ndege JOHN ni wewe kivingine?Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.
Hebu tuwekee hapa mission/Vita ambazo KDF imepigana ili tuone uzoefu wake kulinganisha na UPDF.
Zisianze story sijui nchi flani Ina budget kubwa ya jeshi kuliko nyingine,maana Vita Ni zaidi ya budget na imeshakua proven hivyo Mara kibao.
So nasubiri unitajie hizo mission/Vita kdf ilizopigana mkuu.
Thread 'DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto' DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto
Nakumbuka kamanda Mwakibolwa aliwachakaza M23 mpaka kagane akamnunia JK.M23 wamedekezwa tu.
Wakongo wamelegea sana.
M23 wana zana dhaifu lkn wanaisumbua nchi.
Tuone kama Kagame atajenga uhasama na Kenya kama alivyomfanyia Kikwete
Yaani hata sasa hivi wacongo hawamkubali kabisa Ruto baada ya kuwakebehi,Tshisekedi kipindi Cha kampeni za Ruto vs Odinga alivaa mpk skafu yenye bendera ya ODM akim-support Odinga.Post in thread 'DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto' DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto
Kama kutakua Hakuna pressure ya kutoka USA kwenda kwa Rwanda khs support Yao kwa M23 na then KDF hawezi kutoboa kamwe.
Kuchota madiniUhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
😂😂🤣 Wacongo hawajui kwanini kuna Poxy wars kwenye ardhi yao, wawasafishe FLDR kwanza waone.Kwani kipi alisema uongo, wacongoman sio watu wa kazi wanaweza muziki na kujichubua na kusuka akina mama,
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdaganya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.Kenya hawafanyagi kazi za bure,wanaenda DRC maana huko wameshaanza kufungua ma-bank yao(KCB na Equity) zimeshafungua ofisi huko na sababu ya population kubwa ya DRC manufacturing co.
[emoji23][emoji23][emoji1787] Wacongo hawajui kwanini kuna Poxy wars kwenye ardhi yao, wawasafishe FLDR kwanza waone.
Rwanda walishasema NEVER AGAIN mauaji ya Kimbari.
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Yule Waziri wa Ulinzi Msomali kamdanya Ruto KDF watauzwa kama njugu wewe ngoja uone.
Maiti za Wajaluo zitakuwa zinapishana kuzikwa.
Mkimbizi akibaeba silaha anakuwa threat mzee.FDLR sio tishio kwa usalama wa Rwanda utambue hilo kwanza yaani mkimbizi anayeishi uhamishoni anakua threat sababu ya nini
Mkimbizi akibaeba silaha anakuwa threat mzee.
Huu mgogoro loser ni DRC, Kenya soon atang'amua.
Kama kigezo Ni mission za UN,then kwa takwimu za September,2022 Rwanda kwa africa ndio inaongoza kwa kua na wanajeshi wengi Kwny mission za UN na kwa dunia Ni ya 4 nadhani,ikiwa na wanajeshi 5752,Tz Ina 1487,Uganda 647,Burundi 774,Kenya 349.Ni wazoefu wa kulinda amani na UN imewatumia sana toka miaka ya 1979, baadhi ya mission ni kama ile ya Namibia, Crotia, Msumbiji, Iran - Iraq war walikuepo, kuwait, Rwanda, Angola, Liberia, Sierra Leon, south Sudani, Bosnia-Herzegovina, Congo na western sahara, mission zote hizo wameshiriki na baadhi hapo hawa kulinda amani tu bali waliintergrate kabisa battle field maana walikua wakiamshiwa nao wanapeleka moto hiyo ni kwa ufupi.
Rekodi zipo mzee ndio maana Rwanda wanaweka Buffer zone.Uliwahi kuona popote fdlr waneishambulia Rwanda? Hicho ni kivuli cha kagame aendelee kuikalia Congo lakini dunia imeshamstukia muda mrefu na inaelekea kumchoka na itamtema maana sasa kazidi