Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Ruto seems to be very naive. Hivi anauelewa vizuri mchezo unaoendelea DRC au ameamua kuiingiza nchi yake kwenye dimbwi mwisho ashindwe kutoka?

MK254

Kenya iko kwenye kikosi maalumu cha kikanda sio siku nyingi utaona majeshi ya sudan kusini na Burundi na Uganda nao watakua deployed kwenda Congo kupambana na waasi
 
Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.
Mkuu na wewe ukawe Frontline maana unaonekana mzalendo ...Marekani imeweka kitita Cha kumsaka Joseph Koni....kwhy huko sio lelemama
 
Kitanuka ngoja mwone Kenya lazima ilinde biashara na njia za biashara zake🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪Prezo wa DRC kashapiga simu kwa Ruto direct!!deal imekubali👌💥
Usaidizi unakam!!
 
Kenya iko kwenye kikosi maalumu cha kikanda sio siku nyingi utaona majeshi ya sudan kusini na Burundi na Uganda nao watakua deployed kwenda Congo kupambana na waasi
Burundi wako Muda tu huko Congo,walienda Hata kabla ya Kenya.
 
Kitanuka ngoja mwone Kenya lazima ilinde biashara na njia za biashara zake🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪Prezo wa DRC kashapiga simu kwa Ruto direct!!deal imekubali👌💥
Usaidizi unakam!!
KDF imeshawahi kukinukisha wapi kabla ya huko Congo ili tuone mziki wake ulikuaje?
 
😄😄 PK akisoma kitu Kama hiki nadhani atakua anacheka Saaaana.
Ww bado mdogo sana, unajua Kagame alikuwa nusura Tz imtoe wakati alimtusi JK.. Aliomba msamaha haraka, baada ya JPM kuingia madarakani akajipendekeza haraka sana kisa JK alimtengeneza na kumtia adabu. Unajua TZ ilimaliza kabisa M23 na kupotea kabisa, Kagame hawezi chukua round kwa Tz.. Tatizo lako utoto hujui kitu.
 
Rutto anapeleka Vijana kama Mifugo kwenda kuchinjwa Mwituni?, very sad.

Ni juzi tu, yale Magaidi yanayovaa Vikoi yalikuwa Msikitini Mandera, ameshindwa kuyasafisha?
Lipo tatizo wakichinjwa?? Cha msingi Ni kujaribu kulinda usalama wa wakaazi wa maeneo husika wewe una bahati kutapika hapa mtandaoni utumbo wako unajiona fahari wapo ambao pia wangetamani wawe na huo Uhuru na labda pia alipate bando lakini hajawezeshwa ko usiwe unakuja mtandaoni kufurahia masaibu ya wengine .
 
Ww bado mdogo sana, unajua Kagame alikuwa nusura Tz imtoe wakati alimtusi JK.. Aliomba msamaha haraka, baada ya JPM kuingia madarakani akajipendekeza haraka sana kisa JK alimtengeneza na kumtia adabu. Unajua TZ ilimaliza kabisa M23 na kupotea kabisa, Kagame hawezi chukua round kwa Tz.. Tatizo lako utoto hujui kitu.
😄😄 Tuma salamu kwa watu watatu mtu mzima.
 
KDF imeshawahi kukinukisha wapi kabla ya huko Congo ili tuone mziki wake ulikuaje?
Kenya imeeshiriki peace keeping missions Nyingi uliza Britain na USA or enda Google bana🇰🇪💪💪we bad we are trainned with Nato it self👌Kenya like Ukraine🤞
 
Kenya imeeshiriki peace keeping missions Nyingi uliza Britain na USA or enda Google bana🇰🇪💪💪we bad we are trainned with Nato it self👌Kenya like Ukraine🤞
😄😄 Na Kenya ndio yenye wanajeshi wachache kwny peace keeping missions kwa nchi zote Afrika Mashariki yote.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Kila laheri KDF...ila suluhu ya kijeshi iende sambamba na diplomasia kali kwa nchi mwanachama wa EAC anayefadhili waasi wa M23.
mtu chake Count Capone Nyamizi zitto junior Bukyanagandi
 
Back
Top Bottom