Rais Xi Jinping ampa onyo kali Rais Joe Biden akimuonya ''Asicheze na moto" sakata la Taiwan

Sijui walipata wapi hii jeuri ya kubabaisha kona zote dunia yote, Mrusi ndiye tulidhani mbabe wake ila huyu huyu Mrusi kalizwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa Marekani ameachwa atambe duniani mwenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimejaribu ku recall sijapata. Hivi lini na wapi china aliwahi pigana vita yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…