Rais Xi Jinping ampa onyo kali Rais Joe Biden akimuonya ''Asicheze na moto" sakata la Taiwan

Base gni imewekwa taiwani au umeshakula urojo
 
Hizi mambo za kupigana bit za kishamba sana..si walianzishe tuone..naona nw days kuna balance of power duniani..hi haijakaa sawa lazima mbabe ajulikane ili aheshimiwe.

#MaendeleoHayanaChama
Keshajulikana
 
Sijui walipata wapi hii jeuri ya kubabaisha kona zote dunia yote, Mrusi ndiye tulidhani mbabe wake ila huyu huyu Mrusi kalizwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa Marekani ameachwa atambe duniani mwenyewe.
Baada ya vita Urusi haitakuwa ile ile ya siku zote.
Itapitwa na India
 
Wamalekani wanateseka sana kwa kukalili kuwa wao ni supa pawa. USA ni supa pawa wa zamani za kale

China imeshachimba biti hawataki spika wa bunge wa marekani kutembelea Taiwan. Je, ataitembelea kibabe? Tutege macho tuone usupa pawa
Mkuu hujambo. Vipi huko china wanasemaje ..?
 
Kitakacho fuata ni taiwan kukaliwa kikamilifu na china. Marekani kwasababu ya kutumia nguvu nyingi bila akili, amepoteza pakubwa
Tayari America walisha ingia na wameshaweka mifumo yao ya ulinzi too late. Yatabakia malalamiko tu. Hakuna kitu mtafanya.
 
Tayari America walisha ingia na wameshaweka mifumo yao ya ulinzi too late. Yatabakia malalamiko tu. Hakuna kitu mtafanya.
Imewekwa lini hiyo mifumo?? Ingekuwa hivyo ingeishagundulika kitambo sana maana china anaingia kila siku kwenye anga ya Taiwan
 
Attachments

  • VID-20220803-WA0057.mp4
    4.8 MB
  • VID-20220803-WA0056.mp4
    1.6 MB
Imewekwa lini hiyo mifumo?? Ingekuwa hivyo ingeishagundulika kitambo sana maana china anaingia kila siku kwenye anga ya Taiwan
Hahaha sawa kama mpaka mtu anaingia na kutoka Taiwan hapo unadhani mafala hao wa America
 
Hahaha sawa kama mpaka mtu anaingia na kutoka Taiwan hapo unadhani mafala hao wa America
Kuna sheria za kimataifa na diplomasia. China anaheshimu hizo sheria na ukiangalia vizuri na kuacha ushabiki utaona hakukuwa na possibility yoyote ya china kuilipua ndege iliyobeba maafisa wa marekani
 
Hahaha sawa kama mpaka mtu anaingia na kutoka Taiwan hapo unadhani mafala hao wa America
Kwahiyo unataka kusema kila anapowenda anaweka hiyo mifumo?? Basi hiyo mifumo ipo dunia nzima
 
Kuna sheria za kimataifa na diplomasia. China anaheshimu hizo sheria na ukiangalia vizuri na kuacha ushabiki utaona hakukuwa na possibility yoyote ya china kuilipua ndege iliyobeba maafisa wa marekani
Mwanzo walisemaje..?. Maana ngonjera mnaziruka.
 
Ule ulikuwa ni mkwara tu na marekani walifahamu hivyo
Acha ngonjera. China hawezi fanya lolote na Taiwan ipo siku yaja watajitangaza kuwa wao ni taifa huru na hakuna kitu China watafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…