Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
tutakusubiri our presidentRais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta.
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 2586842
nasika wana mpango wa kugoma kuingiza timu uwanjani.. ππ masuala ya kupata aibu hapana.Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said kesho saa 05:00 asubuhi ataongea na Wanahabari kwenye ukumbi wa Wizara TACAIDS Posta.
Ni kuhusu kampeni ya kupinga mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia na watotoVipi bado muda?.
Sawa.Ni kuhusu kampeni ya kupinga mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia na watotoView attachment 2587553
Tumemmiss Doroth Gwajima na nyungu zake.... teh teh.Ni kuhusu kampeni ya kupinga mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia na watotoView attachment 2587553
You are not serious.nasika wana mpango wa kugoma kuingiza timu uwanjani.. ππ masuala ya kupata aibu hapana.
Kuhusu nini?ndo mnaanza kuhamasishana