Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi.

Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda kwenye robo fainali.'' - Eng. Hersi Said, Rais wa Yanga SC
20231006_221544.jpg
 
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda kwenye robo fainali.'' - Eng. Hersi Said, Rais wa Yanga SC
View attachment 2773962
Maneno mazuri na ya hamasa kutoka kwa kiongozi. Natumaini Yanga atatoboa na wachawi kama kawaida Yao waseme lilikuwa kundi bovu.
 
''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda kwenye robo fainali.'' - Eng. Hersi Said, Rais wa Yanga SC
View attachment 2773962
Naunga mkono hoja
 
Duu bila namba 9
 
Back
Top Bottom