Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 16, 2025 #41 Sultan MackJoe Khalifa said: Katiba gani ya kilofa namna hii,Rais anakamtwa vipi na vijana wa Murilo wa huko?. Click to expand... Ndiyo maana halisi ya katiba bora isiyoweka kinga kwa mijingamijinga.Siyo huko Shelui mnapotaka kuandamana kwa amani mnaambiwa mtapigwa hadi mchakae.
Sultan MackJoe Khalifa said: Katiba gani ya kilofa namna hii,Rais anakamtwa vipi na vijana wa Murilo wa huko?. Click to expand... Ndiyo maana halisi ya katiba bora isiyoweka kinga kwa mijingamijinga.Siyo huko Shelui mnapotaka kuandamana kwa amani mnaambiwa mtapigwa hadi mchakae.