Rais Yoon wa Korea Kusini amekamatwa na Polisi kwa jaribio lake la kutangaza hali ya hatari (martial law)mwezi Desemba

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi.

Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa

Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya kijeshi mwezi uliopita

20250115_072925.jpg

==================================================

South Korea’s impeached President Yoon Suk Yeol was arrested on Wednesday in a massive police operation, with the embattled leader defiantly insisting an investigation into him is illegal and he only complied to prevent violence.

His arrest, the first ever for an incumbent president, is the latest development for one of Asia's most vibrant democracies, which has a history of prosecuting and imprisoning former leaders.

In a video message recorded before he was escorted to the headquarters of South Korea's anti-corruption agency, Mr Yoon said the “rule of law has completely collapsed in this country”.

The operation to arrest Mr Yoon involved some 3,000 police officers after he had been holed up for weeks at his residence in Seoul while vowing to “fight to the end” against efforts to oust him. He had been guarded by a small army of personal security that blocked a previous arrest attempt.

The saga began on December 3 when Mr Yoon declared martial law for the first time in 44 years, saying it was needed to tackle “anti-state” opposition using their legislative majority to thwart his political agenda. He deployed troops around the National Assembly but legislators managed to get through the blockade and vote to lift the measure.

His declaration shocked South Koreans, rattled Asia's fourth largest economy and started an unprecedented period of political turmoil.
 
Katiba gani ya kilofa namna hii,Rais anakamtwa vipi na vijana wa Murilo wa huko?.
Let this be an eternal lesson for chuds everywhere.

“Power desires no associate.” — Quintus Curtius Rufus

DO NOT cross the Rubicon if you aren’t prepared to go all the way. To hesitate, retreat, or fail to follow through is to guarantee your own demise.
 
Kitu kibaya kwenye maisha ni pale unafanya maamuzi kiserikali lakini tatizo likitokea unashughulikiwa peke yako.

Ila hiyo nchi itakuja kupata matatizo makubwa sana kama itaendelea kuhangaika kutafuta mtu mkamilifu.

Kwa sababu mtangulizi wa huyo rais yupo jela
 
Kwani Korea Kusini wanatafuta mtu mkamilifu??
 
Kitu kibaya kwenye maisha ni pale unafanya maamuzi kiserikali lakini tatizo likitokea unashughulikiwa peke yako.

Ila hiyo nchi itakuja kupata matatizo makubwa sana kama itaendelea kuhangaika kutafuta mtu mkamilifu.

Kwa sababu mtangulizi wa huyo rais yupo jela
Mtangulizi wa Rais huyu ni Lee Myung-bak ambaye yuko huru na hana kashfa yeyote. Ambaye yuko jela ni Park Geun-hye aliyekuwapo kabla ya Lee
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
View attachment 3202219

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi. Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa

Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya kijeshi mwezi uliopita
Huyu sio Rais tena wa SK mbona toka muda
 
Kitu kibaya kwenye maisha ni pale unafanya maamuzi kiserikali lakini tatizo likitokea unashughulikiwa peke yako.

Ila hiyo nchi itakuja kupata matatizo makubwa sana kama itaendelea kuhangaika kutafuta mtu mkamilifu.

Kwa sababu mtangulizi wa huyo rais yupo jela
Alitoka
 
View attachment 3202219

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi. Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa

Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya kijeshi mwezi uliopita
Very nice.
Katiba yao ni bora kabisa, hakuna mtu ambaye yupo juu ya Sheria. Haya ni Matokeo yatokanayo na kuwepo kwa Katiba nzuri, Utawala wa Sheria pamoja na kuwepo kwa Dhana nzima ya Ukuu wa Mihimili ya Dola ambayo haiingiliani katika utendaji wa kazi zake (Separation of Power between the State Pillars).

Katiba gani ya kilofa namna hii,Rais anakamtwa vipi na vijana wa Murilo wa huko?.

Korea ya Kusini kuna Katiba Nzuri, pia kuna Utawala Bora wa Sheria.
Korea ya Kusini hakuna Utawala wa Kidikteta, South Korea is not a shit-hole country like North Korea or like ours.

In South Korea, nobody is above the law!
 
Very nice.
Katiba yao ni bora kabisa, hakuna mtu ambaye yupo juu ya Sheria. Haya ni Matokeo yatokanayo na kuwepo kwa Katiba nzuri, Utawala wa Sheria pamoja na kuwepo kwa Dhana nzima ya Ukuu wa Mihimili ya Dola ambayo haiingiliani katika utendaji wa kazi zake (Separation of Power between the State Pillars).

Korea ya Kusini kuna Katiba Nzuri, pia kuna Utawala Bora wa Sheria.
Korea ya Kusini hakuna Utawala wa Kidikteta, South Korea is not a shit-hole country like North Korea or like ours.

In South Korea, nobody is above the law!
Wewe Mtanzania haufanani kivyovyote vile na nchi ya kidikteta NK na China usijepe matumaini ya hovyo kwa sababu ya udikteta wenu wa kipumbavu kuanzia elimu,teknolojia kote mpo hovyo wenzenu ni madikteta wenye akili nyie wapuuzi
 
Very nice.
Katiba yao ni bora kabisa, hakuna mtu ambaye yupo juu ya Sheria. Haya ni Matokeo yatokanayo na kuwepo kwa Katiba nzuri, Utawala wa Sheria pamoja na kuwepo kwa Dhana nzima ya Ukuu wa Mihimili ya Dola ambayo haiingiliani katika utendaji wa kazi zake (Separation of Power between the State Pillars).

Korea ya Kusini kuna Katiba Nzuri, pia kuna Utawala Bora wa Sheria.
Korea ya Kusini hakuna Utawala wa Kidikteta, South Korea is not a shit-hole country like North Korea or like ours.
Maoni kuhusu demokrasia yanaweza kutofautiana sana kulingana na mtazamo wa mtu. Korea Kusini imekuwa na historia ya demokrasia yenye nguvu na maendeleo makubwa katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, ikijulikana kwa utawala wa sheria na haki za binadamu. Kukamatwa kwa Rais Yoon Suk Yeol kunaweza kuonyesha changamoto zinazoikabili demokrasia ya nchi hiyo, huku wengine wakiona kama ni hatua ya ulinzi wa sheria na wengine wakiona kama ni kutishiwa kwa mfumo wa kisiasa.

Kwa upande mwingine, Marekani pia ina historia ndefu ya demokrasia, lakini pia inakabiliwa na changamoto zake, kama vile mgawanyiko wa kisiasa na masuala ya haki za kiraia. Wakati wa kulinganisha demokrasia, ni muhimu kuzingatia mambo kama vile uhuru wa vyombo vya habari, uwazi wa uchaguzi, na ushiriki wa raia katika mchakato wa kisiasa.

Katika hitimisho, kila nchi ina nguvu na mapungufu yake katika mfumo wa demokrasia, na ni vyema kufanyia kazi kuboresha mifumo ya kisiasa kwa njia ambayo inafaa kwa watu wa nchi hizo.
 
Changamoto lazima ziwepo sababu hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Kama kuna mtu anaamini ipo aende akaifanye nyumbani kwake aone uhalisia wake.
 
Comments za machawa zinachekesha sana.
Nchii ambazo zinageshimu Sheria , hakuna MTU yoyote ule AmBAR yupo juu ya Sheria.

Na ndio maana Wana nidhamu na uzalendo.
Ss njoo bongoland, raisi,vp, PM, speaker,vs wamejiwekea Sheria kuwa ,hawata shitakiwa
 
Back
Top Bottom